ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

Naona sasa mmeanza kuleta double standard sio?

Mchina akiagiza baadhi ya components za bidhaa zake kutoka nje mnasema hana teknolojia

Leo iPhone ana suppliers wa nje ya Marekani mnasema ni nani aliyekwambia Apple wamshindwa. This is pathetic! 🤣🤣🤣

Ok basi nikuiulize tu maswali mawili

Kwa nini HUAWEI waliamua waanze kutegemea components za ndani China-made sababu kuu ilikuwa ni nini?

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa Apple wanapotegemea suppliers wana tech hafifu?
Unaponijibu mimi fuata mtiririko wa ninachowasilisha na kukiunga mkono. Unataka kunijibu mimi kwa hoka za wengine ambazo sina uhakika kama ni kweli waliandika hivyo au ni wewe haukuwaelewa?
 
Mpaka siku utakapoweza kutofautisha kati ya propaganda na habari za kweli ndipo tutaweza labda kukaa meza moja na kufanya analysis ila kwa sasa uwezo wako ni mdogo sana

YouTube kuna video nyingi sana za Anti-China propagandists hasa Wahindi, na mara zote huzungumzia vitu negative kuhusu China

YouTube hata wewe unaweza kuweka video yako ukasambaza habari za uongo

Ukiendelea kuamini propaganda hakuna siku utaweza kufanya analysis inayoeleweka kuhusu global trading, internationa affairs, geopolitical and diplomatic issues
We nawe ukisanuliwa ndo unakujaga na uetetezi mwepesiiii na issue za geopolitics na oooh hizo ni propaganda kuhusu china.
Unataka kila mtu akubali uandikacho kuhusu china.
Pole wa "china yawa ya kwanza"😆😂🤣.
Ukipaste vilink vyako fekero vya china yawa ya kwanza basi nawe unajiona analyst tena yule pro.
We mwenye uwezo duni hata wa kung'amua tu hi habari hii ya china yawa ya kwanza ambayo unataka uipaste JF inamake sense kweli hujiulizagi hilo just unakimbilia kupost.
 
Soko linalimpatia China hela ndefu zaidi ya products zake ni siko la US. Akilikosa hilo anawezavakaporomoka hadi nafasi ya 6 kiuchumi duniani , halafu watu wanajiongelea tu bila uelewa.
Je, unajua kuwa the 3rd biggest trading partner wa Marekani ni China?

Je, ni sahihi kusema Marekani hahitaji China?

Bidhaa nyingi luxuries zinazotengenezwa Marekani na Ulaya soko lao kubwa ni China

Je, ulijua kuwa makampuni ya kutengeneza semiconductors ya Marekani mapato yao kwa soko la China yalipungua kwa 30% sababu ya serikali yao kuwazuia wasiuze?
 
Uwe unajishughulisha kuanzia jambo linapoanzia, US kabla ya kufikia hiyo 100% walipandisha hadi 27% na hapo alitakiwa seriksli ijiweke kando, maana biashara za chini ni government backed . Kama kuna watakaotengeneza na kuuza kama makampuni binafsi basi yuatatozwwa hiyo 27% percent. Ma ameambiea technology yake lazima ifumuliwe na kuchunguzwa maana EV zinakusanya taarifa nyingi kuanzia za mitaa, hali ya hewa, mawasiliano n.k. China ameanza kulia wakati na yeye huwa anafana hivyohivyo na wenzake hawakulia bali wali comply naye.
China analihitaji sana soko la Marekani.
Sababu kuu iliyotolewa na serikali ya Marekani ni kulinda viwanda vya ndani

Ushauri wangu: siku nyingine kabala ya kupost jiridhishe na habari unayozungumzia kama ni sahihi
 
Je, unajua kuwa the 3rd biggest trading partner wa Marekani ni China?

Je, ni sahihi kusema Marekani hahitaji China?

Bidhaa nyingi luxuries zinazotengenezwa Marekani na Ulaya soko lao kubwa ni China

Je, ulijua kuwa makampuni ya kutengeneza semiconductors ya Marekani mapato yao kwa soko la China yalipungua kwa 30% sababu ya serikali yao kuwazuia wasiuze?
Usibadilishe swali ili ujibu uwezavyo, nilitarajia upinge umuhimu wa US Market kwa China, maana unavyoandika humu huwa unaandika as if US or Euro hawawezi ku survive bila China. Hiyo technology inayowapelekea kuipamba China watu wame invest kwenye research na uvumbuzi sasa China kufanya development based on what others wame invent mnataka kumpa sifa na kuwafanya wengine kama are just nothing.
Hakuna mtu anayepinga uwezo wa China kwenye kufanya mass productions ila lazima mjue kwamba mnapojaribu kumuimbia mapambio basi isiwe kwa gharama ya ku disqualify waliofanya research na uvumbuzi.
Wote wanapaswa kuheshimiwa na wote wana umuhimu.
 
Sababu kuu iliyotolewa na serikali ya Marekani ni kulinda viwanda vya ndani

Ushauri wangu: siku nyingine kabala ya kupost jiridhishe na habari unayozungumzia kama ni sahihi
Wewe una comment based on vichwa vya habari , hongera kwa hilo nacho ni kipaji.
 
Hiyo technology inayowapelekea kuipamna China watu wame invest kwenye research na uvumbuzi
Unamaanisha China hawafanyi research?

Je, wajua kuwa China ndiyo kinara wa kupublish the most scientific research papers?

Je, unafahamu kuwa China inaongoza kwenye critical technologies?
 
Kitu kimoja kuhusu Marekani ni kuwa ni developed country, ilipo China sasa, Marekani ilikuweko miaka zaidi ya 30 iliyopita ndo maana huwezi kuta Marekani wana maendeleo ya barabara au treni
Kwa hiyo unamaanisha kuwa baada ya miaka kadhaa taifa linastaafu kuendeleza miundombinu yake?

Je, Marekani mpaka wanastaafu wana km ngapi za high speed railways mpaka sasa tangu miaka hiyo 30 iliyopita?
 
The big difference between me and you is one, I speak my arguments using real examples that make sense.

But you guy have arguments that do not have real examples

I know it's not your fault, it's that you don't have a broad understanding of the topics we're talking about
Well, that's from your own perspective that should not necessarily reflect the reality. However, what makes sense for you should not necessarily make sense for me because we're in different schools of thought.

If you think that having a broad understanding of the topic means to blindly and unintelligently support your ideas then you will be terribly erring.
 
Namshukuru mama kwa jf ,nimepata elimu, pia tukumbuke uchumi wa tz unakua kwa kasi ya ajabu
 
Itakuwa umeukutia huo mjadala wakati US akijibu, Ulaya na Marekani wote wanatengeneza EV kama China, but ili kudhibiti nchi za Ulaya na Marekani zisipeleke magari yao China, alichofanya China ni kuwapandishia tarrifs, kuona hivyo US akaona huu ni ubwege na yeye akaongeza Tarrifs akisema kama ndivyo na yeye anapaswa kulinda soko lake, viwanda vyake na ajira za watu wake.
EU nao wameshapendekeza kupandisha tarrifs kwa EV kutoka China, tena wao tarrifs za ni ndefu kuliko za US, China alipoona ameminywa ndiyo akatoka out in the open kuanza kulialia. Lakini yeye ndiye ameuanza huu mziki.
China alifungia Youtube, Facebook n.k ili watumie mitandao yao, walipozuiliwa mitandao yao wakapaza sana sauti kuwa wanaonewa.

Kwa kweli bhana bado China ana safari ndefu mno dhidi ya Magharibi.
 
Back
Top Bottom