Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa ni uongo sawa lakini ni innovation ambayo inaonekana na kuthibitishwa na wataalamu na hata wewe unaweza kujiridhishaPropagandists wa Chama cha kikomunisti China bwana Xi Jinhping
Dunia inakwenda kwa kasi sana katika tech usikariri.Marekani ndo baba wa karibia kila kitu
Mkuu Japan aliwahi kuwa na kasi ya maendeleo na ikasadikika anaweza kumpindua US, mwisho wa siku mpaka sasa bado US ndio kiongozi.Dunia inakwenda kwa kasi sana katika tech usikariri.
Innovation, R&D ndio kila kitu
Ukilala hapo unapigwa gap
Launching market level ya Kichina, kule US na Euro ni levels za researchLakini pamoja na yote China teknolojia yake bado sana, hata ukienda Marekani leo ukaona bidhaa yoyote ya kichina kwa mfano ya umeme, computer au ya mifumo ya maji (Plumbing Fittings) huwezi kabisa ukalinganisha na ya hapo Marekani kwani tofauti utaiona wazi na hata kwenye bei.
Majuzi tu nilishangaa kugundua kwamba yale malori ya kichina FAW eti kumbe wachina wanatengeneza bodi tu ila injini na gear box ni za Sweden (VOLVO) nilichoka.
Miezi minne iliyopita tulileta Water Pump na Concrete Mixer za kichina pale mgodini Bulyanhulu - Kakola kwa matumizi yetu na cha ajabu Water Pump mpya kabisa ikashindwa kuvuta maji ikiwa mpya na upya wake kabla ya uongozi wa mgodi kuamuru kwamba mitambo yote ya kichina ni marufuku kuingizwa humo mgodini ndipo ikabidi tuviondoe vyote Water Pump na Concrete Mixer.
Kumbe siku za nyuma kuna Generator moja ya kichina ililipuka hapo mgodini na kusababisha majereha hivyo uongozi wa Barrick Kakola wakatuazimisha Water Pump mahiri ya kiingereza aina ya GODWIN inayopiga maji lita 250 kwa dakika moja tu.
Sidhani kama kuna siku China itakuja kutengeneza bidhaa yoyote ile inayoweza kufikia ubora wa bidhaa yoyote inayotengenezwa katika nchi yoyote ya magharibi, haitawezekana hata mpaka mwisho wa dahari.
Ukiwa uko nchini Marekani ukaona bidhaa yoyote ya kichina yenye ubora ubora hivi basi ujue hiyo bidhaa imetengenezwa katika kiwanda kinachomilikiwa na mmarekani aliyewekeza China. Period.
Hata hizi simu zinazotoka China, wachina wanaishia kutengeneza housing tu na screen lakini motherboard hawatengenezi wenyewe na hata Operating System sio yao.
Kosa la kwanza na kubwa ni kufananisha Japan na China.Mkuu Japan aliwahi kuwa na kasi ya maendeleo na ikasadikika anaweza kumpindua US, mwisho wa siku mpaka sasa bado US ndio kiongozi.
Iliwahi kutabiriwa kufikia 2010 China angekuwa ndo superpower, baadae ikatabiriwa kwenye 2014 au 16 China angeshika usukuni ila bado US amekuwa kiranja.
Sasa hivi inasemekana 2030 China atampiku US ila kiukweli hii kitu bado hakipo. Tusidhani US na Allied wake wamelala usingizi mzito kwamba dola yao inaweza kuanguka kizembe hivyo.
Pia kumbuka mkuu China ni nchi inayoendelea na sio iliyoendelea.
Huyu jamaa bado ataendelea kukaa kileleni kwa muda mrefu, Innovation nyingi zinaanzia kwao na washirika wake, Mchina anakuja tu kucopy. Sasa huwezi shindana na mtu anayekuletea tech kisha wewe ucopy uje ushindane nae ktk nyanja yoyote ile.Marekani ndo baba wa karibia kila kitu
Itakuwa umeukutia huo mjadala wakati US akijibu, Ulaya na Marekani wote wanatengeneza EV kama China, but ili kudhibiti nchi za Ulaya na Marekani zisipeleke magari yao China, alichofanya China ni kuwapandishia tarrifs, kuona hivyo US akaona huu ni ubwege na yeye akaongeza Tarrifs akisema kama ndivyo na yeye anapaswa kulinda soko lake, viwanda vyake na ajira za watu wake.Naanza kumkubali mchina mara baada ya mmarekani kumuwekea vikwazo eti kisa anauza magari yake ya umeme EV kwa bei ya chini.....
Kwa hiyo Samsung anapotumia android ni ya nani?Hata hizi simu zinazotoka China, wachina wanaishia kutengeneza housing tu na screen lakini motherboard hawatengenezi wenyewe na hata Operating System sio yao
Sababu ya Japan ilikuwa ni kushushwa na Marekani kupitia Plaza Accord AgreementMkuu Japan aliwahi kuwa na kasi ya maendeleo na ikasadikika anaweza kumpindua US, mwisho wa siku mpaka sasa bado US ndio kiongozi.
Ok just name atleat 5 Chinese brands that failed to enter western market because of poor quality
www.voanews.com
Unahamisha magoli tu haya kula vyuma vingine hivyo halafu why asingiziwe mchina tu kuwa ana substandard military equipment's makinika wewe kwamba anaonewa gere kwa lipi hasa? we mchina wa china yawa ya kwanza? unataka utupige kamba hapa kama ulivyotaka kutupiga kwenye transcontinental telesurgery mchina fake una story fake za china ya wa ya kwanza!
directus.gr
www.eurasiantimes.com
Kwa hiyo Huawei wameacha kufuga nguruwe..!!⁉️Kwa hiyo Samsung anapotumia android ni ya nani?
iPhone wana suppliers wengi wa components kutoka nje ya Marekani nikupe mifano michache
●Chip TSMC (Taiwan)
● battery LG na SAMSUNG (S.Korea)
●Camera ni Sony (Japan)
●screen ni Samsung (S.Korea)
●circuit boards for iPhones (Taiwan)
● flash memory (Korea)
● acoustics, glass, connectors, and display panels (China)
● assembly line and suppkuer (China)
HUAWEI kwa sasa wanatumia chip zilizotengenezwa China, wanatumia OS yao ya Harmony OS, flash memory chip, processor (Kirin 9010 processor-China)
90% ya components za HUAWEI kwa sasa ni China-made. Kitu ambacho hata iPhone ameshindwa
Everybody is entitled to his opinion but what I know is that Chinese are famous for producing shoddy goods. I've never seen a Chinese product whose quality can match those that are being manufactured in the west.It's totaly wrong
Stereotypical to assume that Chinese goods are crap. Even Elon musk said the Chinese electric cars are extremely high quality
Chinese goods are high quality and cost efficient
There's so much world class high quality Chinese consumer goods out there, the only thing they're lacking in is brand longevity, but social media accelerates brand marketing
I must say that most of the Chinese-made home appliances and household goods which I've purchased are of high quality and sold at reasonable prices
Waambie hao. Marekani yupo mbali saanaMkuu Japan aliwahi kuwa na kasi ya maendeleo na ikasadikika anaweza kumpindua US, mwisho wa siku mpaka sasa bado US ndio kiongozi.
Iliwahi kutabiriwa kufikia 2010 China angekuwa ndo superpower, baadae ikatabiriwa kwenye 2014 au 16 China angeshika usukuni ila bado US amekuwa kiranja.
Sasa hivi inasemekana 2030 China atampiku US ila kiukweli hii kitu bado hakipo. Tusidhani US na Allied wake wamelala usingizi mzito kwamba dola yao inaweza kuanguka kizembe hivyo.
Pia kumbuka mkuu China ni nchi inayoendelea na sio iliyoendelea.
Na huo ndo ukweli.Huyu jamaa bado ataendelea kukaa kileleni kwa muda mrefu, Innovation nyingi zinaanzia kwao na washirika wake, Mchina anakuja tu kucopy. Sasa huwezi shindana na mtu anayekuletea tech kisha wewe ucopy uje ushindane nae ktk nyanja yoyote ile.
Tukisema tuwe wawazi, tutagundua kwamba karibia ya Tech zote kubwa ambazo kwa sasa zinarun dunia, US amechangia kwa zaidi ya 80%.
Hapa tunazungumzia mifumo ya elimu, mitandao ya kijamii, mifumo ya fedha, taasisi za kiuchumi, afya, teknolojia mbalimbali n.k. Mambo mengi tu Amerika ndo muasisi wake na sio Mchina, vitu vingi Mchina amekuja kucopy tu.
Mchina alivyo mbinafsi angekuwa yeye ndo US angepiga stop vitu vingi vyake visitumike nje.
Huwa mambo hayaangaliwi katika angle hiyo. Ni nani aliyekwambia wameshindwa?90% ya components za HUAWEI kwa sasa ni China-made. Kitu ambacho hata iPhone ameshindwa
Soko linalompatia China hela ndefu zaidi ya products zake ni siko la US. Akilikosa hilo anawezavakaporomoka hadi nafasi ya 6 kiuchumi duniani , halafu watu wanajiongelea tu bila uelewa.Mkuu Japan aliwahi kuwa na kasi ya maendeleo na ikasadikika anaweza kumpindua US, mwisho wa siku mpaka sasa bado US ndio kiongozi.
Iliwahi kutabiriwa kufikia 2010 China angekuwa ndo superpower, baadae ikatabiriwa kwenye 2014 au 16 China angeshika usukuni ila bado US amekuwa kiranja.
Sasa hivi inasemekana 2030 China atampiku US ila kiukweli hii kitu bado hakipo. Tusidhani US na Allied wake wamelala usingizi mzito kwamba dola yao inaweza kuanguka kizembe hivyo.
Pia kumbuka mkuu China ni nchi inayoendelea na sio iliyoendelea.