ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

Kwahiyo soko lake la ndani linatosha kabisa sio? Vitu vingine mkuu tukae kimya tu jamani.
 
China alifungia Youtube, Facebook n.k ili watumie mitandao yao, walipozuiliwa mitandao yao wakapaza sana sauti kuwa wanaonewa.

Kwa kweli bhana bado China ana safari ndefu mno dhidi ya Magharibi.
China akiminywa na kuanza kujiloza wapamne wao ndiyo huibuka na kuanza kulia nao. Hajui kuwa kuwa na uchumi mkunwa ni mchezo wa wanaume na wanaume hawapaswi kulialia
 
Who cares about your baseless analysis and perspective

U've to learn to be humble so as to gain experience and knowledge
 
Basi kila mtu auze awezavyo......(kuna dalili ya gari za buku jero hapo mwaka 2030) 😋😋😋
 
Kitu kimoja kuhusu Marekani ni kuwa ni developed country, ilipo China sasa, Marekani ilikuweko miaka zaidi ya 30 iliyopita ndo maana huwezi kuta Marekani wana maendeleo ya barabara au treni
Sio kweli. marekani wana mpango wa kujenga HSR ila ina delay kwa sababu ya siasa za kipuuzi walizonazo sasa.

Marekani ni kubwa usifikiri marekani ni sawa na ka wilaya.
 
Basi kila mtu auze awezavyo......(kuna dalili ya gari za buku jero hapo mwaka 2030) 😋😋😋
Gari za mafuta zitauzwa kwa thamani ya hiyo hela ifikapo mwaka huo. Soko kubwa ma labda pekee la magari yatumiayo mafuta na gasi itakuwa ni Africa
 
Kiuhalisia China ni superpower ila kipropaganda USA ndio anajulikana superpower.
Maana ukitizama kiuchumi hakuna sehemu China hajapiga hatua.
Katika masuala ya industrial China ana contribute more than 40%.
USA kabakia maneno tu.
 
Mkuu usiue panya kwa gobole.
Maana hizi nondo doooh!!
 
Unaamini kwenye propaganda za Taiwan?
Kwa kumaliza mjadala Ursula Von derleyen alikiri na kuiambia USA mwaka jana kuwa mzozo wa China-Taiwan usije ukawa wa kivita kama wa Russia-Ukraine,maana China ina play part kubwa katika uchumi wa dunia,na kama mzozo ukiwa mkubwa dunia itaumia mara dufu zaidi ya inavyoumia sasa kwa Russia-Ukraine conflicts.
Huyo ni rais wa EU Bi.Ursula anaongea hivyo,halafu kuna mmakonde wa Nanjilinji anakwambia China kwa USA bado sana.
Kama bado sana kwanini washirika wa USA wanamsisitiza USA asiingie nae katika mzozo!?
 
Ursula yuko sahihi kwa sababu China peke yake
1. Industrial output yake ni 35% ya world's total industrial output.

Kwa ujumla industrial output ya US, Japan, Germany, South Korea, Italy,France na India ni 34%

2. Mchango wa China peke yake katika global economic growth ni karibu 30%

3. China ndiye mchangiaji mkubwa namba 2 wa bajeti ya U.N

4. China ni taifa muhimu sana katika global supply chain
 
Still kuna mmakonde wa Nammanga atakwambia China bado saanaa.
 
Who cares about your baseless analysis and perspective

U've to learn to be humble so as to gain experience and knowledge
Yes that's what I normally do but I can only gain knowledge from a person with rational reasoning whose intellect is not based on senseless religious fanaticism or bigotry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…