Huyo aliyefanyiwa operation China wachina ndio wanamjua Sasa kuleta credibility mgonjwa wa operation awe muitaliano aliyeko Italia na madaktari wafanya operation wawe Wachina wakiwa Beijing iki kuthibitishia ulimwengu kuwa huo upasuaji Waweza fanyika anywhere madaktari wa upasuaji wakiwa nchi yeyote na wagonjwa wakiwa nchi yeyoteUnamanisha nini?
Inasikitisha sana. Unafikiri nini kifanyike kulinusuru taifa letu?Huku kwetu wananchi ndio kwanza wanakuwa Chawa kwa njaa zao🤣🤣
Kwa hiyo hauamini kilichofanyika?Huyo aliyefanyiwa operation China wachina ndio wanamjua Sasa kuleta credibility mgonjwa wa operation awe muitaliano aliyeko Italia na madaktari wafanya operation wawe Wachina wakiwa Beijing iki kuthibitishia ulimwengu kuwa huo upasuaji Waweza fanyika anywhere madaktari wa upasuaji wakiwa nchi yeyote na wagonjwa wakiwa nchi yeyote
Shida Nini si ifanywe opposite kuthibitishaKwa hiyo hauamini kilichofanyika?
Mzee hiyo surgery unataka iwe na credibility gani wakati ilikuwa ni live telesurgery?
Vito Pansadoro is internationally respected as a specialist in Laparoscopic Robotic Surgery alichosema baada ya hiyo surgery
View attachment 3014731
Hii ni mara ya kwanza kufanywa na wamefauluShida Nini si ifanywe opposite kuthibitisha
Mbona unasema uongo mchana kweupe? Polisi ndiyo ilikataa. Peter Madeleka alihangaika sana kuendelea na kesi wakakataa. Anyways jinai haifi na tuombe Mungu iko siku.Gekul, yule mfungua shtaka, alikosa ushahidi wa kutosha kuendelea na lile shauri, kesi ikatupiliwa mbali, na kufutwa, na milango ya rufaa ilikua wazi, ila mpaka muda unaishi si wale mawakili wakuaminika, wala watu wa utetezi wa haki za binadamu, wala boni yai kasogea mahakama yyte kufungua tena shauri, gekul is free.
Ile ya dodoma ni story ya kusadikika nayo, hakukua na chochote.
Na kuhusu roboti si lililetwa lile la eunice, kuna lile la airtel. Hilo la operation hata marekani hawana, so tusubiri.
Ni kweli Marekani hajawahi kuwa na aina hii ya robot katika suala zima la upasuaji wa trans-continental live telesurgery
Hapa China is far miles ahead of USA
Ila kwa kuwa ni innovation iliyofanyika China hautasikia mainstream media za Marekani na Ulaya zikitangaza, what a double standard!
Wamarekani wa bongo wanasemaje juu ya hili!
Biotechnology inayopatikana barani Asia kwanzia India mpaka Japan na Uchina huko, mmarekani anasubiri sana, anachojivunia sana sana mmarekani ni teknolojia ya kijeshi tu ambayo ndio inailinda sana asije akapoteza ile superiority kwenye nyanja hiyo maana ndio inayompa kiburi cha yeye kuendelea kuwa kiranja wa dunia...Ni kweli Marekani hajawahi kuwa na aina hii ya robot katika suala zima la upasuaji wa trans-continental live telesurgery
Hapa China is far miles ahead of USA
Ila kwa kuwa ni innovation iliyofanyika China hautasikia mainstream media za Marekani na Ulaya zikitangaza, what a double standard!
Umesema vyemaBiotechnology inayopatikana barani Asia kwanzia India mpaka Japan na Uchina huko, mmarekani anasubiri sana, anachojivunia sana sana mmarekani ni teknolojia ya kijeshi tu ambayo ndio inailinda sana asije akapoteza ile superiority kwenye nyanja hiyo maana ndio inayompa kiburi cha yeye kuendelea kuwa kiranja wa dunia...
Unaambiwa watu kutoka bara Asia walishaacha kwenda kutibiwa marekani na ulaya miaka mingi sana iliyopita.... kila aina ya matibabu wanayapata huko huko Asia.
Kuhusu media za magharibi kutolipa airtime kubwa jambo kama hili hiyo iko wazi, vita ya kidpomasia na wivu uliokithiri ndio sababu kuu hasa
Polisi wanakataaje Sijakuelewa. Hii kesi iko open, go and look for law documents za hii case zipo hata google. Mimi nimejibu accordingly na hizo. Naifahamu case na nimeenda kusoma sharrow na nimejibu hapa. Huo uwongo uko wapi. Come up with something ujibiwe. Mbona umeleta swala la rufaa tena, na nimeliongea uongo ukobwapi, quote me.Mbona unasema uongo mchana kweupe? Polisi ndiyo ilikataa. Peter Madeleka alihangaika sana kuendelea na kesi wakakataa. Anyways jinai haifi na tuombe Mungu iko siku.
Endelea kujitoa ufahamuPolisi wanakataaje Sijakuelewa. Hii kesi iko open, go and look for law documents za hii case zipo hata google. Mimi nimejibu accordingly na hizo. Naifahamu case na nimeenda kusoma sharrow na nimejibu hapa. Huo uwongo uko wapi. Come up with something ujibiwe. Mbona umeleta swala la rufaa tena, na nimeliongea uongo ukobwapi, quote me.
Kwanini ziandike media za ulaya na marekani? wachina si wana media zao kwani wakiandika wao habari hazitofika zinapotakiwa kufika?Ni kweli Marekani hajawahi kuwa na aina hii ya robot katika suala zima la upasuaji wa trans-continental live telesurgery
Hapa China is far miles ahead of USA
Ila kwa kuwa ni innovation iliyofanyika China hautasikia mainstream media za Marekani na Ulaya zikitangaza, what a double standard!
Telesurgery sio kitu kipya na infact ni ugunduzi ulioanzia ulaya i.e. france na us na moja wajawapo kilichopelekea ugunduzi ni walianza na swali la what if NASA astronaunt akapata tatizo la kiafya akiwa angani je haiwezekani kumhudumia kutokea duniani?Ngoja waje utawasikia Mchina anatumia tech zilizogunduliwa na nchi za Magharibi
Mara ooh Mchina anaiba sana IP za Marekani na Ulaya
Tena utasikia Mchina anachofanya ni copy and paste
Na wakati ni wiki iliyopita chuo cha Stanford Univ.., cha Marekani kimekiri na kuomba msamaha wanafunzi wao kuiba Chinese project for AI model
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans.
The world's first transcontinental live telesurgery
Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje?
Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine.
Huu ni mfumo wa kitabibu wa upasuaji kwa kutumia robot (robotic surgery) uliotengenezwa na timu ya wataalamu wa China.
Ambapo madakatri wa Kichina walikuwa Rome, Italy mubashara wakimfanyia upasuaji wa tezi dume mgonjwa aliyekuwa Beijing, China na kufanikiwa.
Roboti za upasuaji zilikuwa China (Asia)na madaktari Wachina operators walikuwa Rome, Italy (Ulaya) umbali wa km 8100.
Haya ni mapinduzi ya kwanza ya kitiba kufanywa duniani. Wataalamu mbalimbali duniani wamesema huenda miaka ya mbeleni wagonjwa hawatahitaji kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya upasuaji wa matatizo makubwa ya kiafya.
Daktari Mchina akiwa Rome akimfanyia upasuaji mgonjwa aliye Beijing kwa kutumia robot
View attachment 3014671
View attachment 3014683
#Made in China 2025 (MIC25)
Huu nin mpya kwako. Upasuaji kama huo ulishafanyika miaka ya nyuma kwa mgonjwa akiwa London na madktari wakiwa New York, Marekani!!"Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu (high tech) na innovation. Lengo ni kufikia the 4th industrial revolution (the integration of...www.jamiiforums.com
Mchina wa JF kashangaaa kashangaaa tena wakati US na Europe hiyo tech wanayo kitambo tu na mtu mgonjwa akiwa france alifanyiwa operation na surgeoon akiwa US tena 2001 miaka 23 baadae ndo wachina wake nao wao wanafanya tena wakifanya kutokea ulaya.Ni mpya kwako huo. Upasuaji kahuo ulishafa
Xi Jinping kashangaa sanaaaa maana hatimaye mwaka 2024 wachina nao wamefanya tena kutokea ulaya 🤣🤣🤣🤣😂Haya mambo India alisha yafanya kitambo sana.. Upasuaji wa kwanza wafanyika duniani bila ya Daktari
Cc: BlackPantherTelesurgery sio kitu kipya na infact ni ugunduzi ulioanzia ulaya i.e. france na us na moja wajawapo kilichopelekea ugunduzi ni walianza na swali la what if NASA astronaunt akapata tatizo la kiafya akiwa angani je haiwezekani kumhudumia kutokea duniani?
So kwa sasa based on internet ya 5G hakuna cha ajab chochote walichofanya hao wachina wako maana unachotaka wewe tuamini ni kuwa walichofanya hao wachina ni kitu cha ajabu mnooo kiasi kwamba ulaya marekani hawatoweza fanya! Wakati ni just kuwa na real time internet connectvity, surgeon, consoles, robots na madaktari kwa upande alipo mgonjwa.
Na ndiyo maana hiyo habari hata ukiigogle utakutwa imeandikwa na media za kawaida kabisaaaa tena chache mnoo yaan siyo tukio la kushangaza dunia hata.
Soma vizuriNi mpya kwako huo. Upasuaji kahuo ulishafa