ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

Unamanisha nini?
Huyo aliyefanyiwa operation China wachina ndio wanamjua Sasa kuleta credibility mgonjwa wa operation awe muitaliano aliyeko Italia na madaktari wafanya operation wawe Wachina wakiwa Beijing iki kuthibitishia ulimwengu kuwa huo upasuaji Waweza fanyika anywhere madaktari wa upasuaji wakiwa nchi yeyote na wagonjwa wakiwa nchi yeyote
 
Kwa hiyo hauamini kilichofanyika?

Mzee hiyo surgery unataka iwe na credibility gani wakati ilikuwa ni live telesurgery?

Vito Pansadoro is internationally respected as a specialist in Laparoscopic Robotic Surgery alichosema baada ya hiyo surgery kufanikiwa

Screenshot_20240611-181136_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo hauamini kilichofanyika?

Mzee hiyo surgery unataka iwe na credibility gani wakati ilikuwa ni live telesurgery?

Vito Pansadoro is internationally respected as a specialist in Laparoscopic Robotic Surgery alichosema baada ya hiyo surgery
View attachment 3014731
Shida Nini si ifanywe opposite kuthibitisha
 
Hii ni mara ya kwanza kufanywa na wamefaulu

Kama imewezekana basi ujue hata iwe opposite inawezekana

Wewe unaonaje kwa kutumia akili zako itashindikana?
 
Gekul, yule mfungua shtaka, alikosa ushahidi wa kutosha kuendelea na lile shauri, kesi ikatupiliwa mbali, na kufutwa, na milango ya rufaa ilikua wazi, ila mpaka muda unaishi si wale mawakili wakuaminika, wala watu wa utetezi wa haki za binadamu, wala boni yai kasogea mahakama yyte kufungua tena shauri, gekul is free.
Ile ya dodoma ni story ya kusadikika nayo, hakukua na chochote.

Na kuhusu roboti si lililetwa lile la eunice, kuna lile la airtel. Hilo la operation hata marekani hawana, so tusubiri.
Mbona unasema uongo mchana kweupe? Polisi ndiyo ilikataa. Peter Madeleka alihangaika sana kuendelea na kesi wakakataa. Anyways jinai haifi na tuombe Mungu iko siku.
 
Ni kweli Marekani hajawahi kuwa na aina hii ya robot katika suala zima la upasuaji wa trans-continental live telesurgery

Hapa China is far miles ahead of USA

Ila kwa kuwa ni innovation iliyofanyika China hautasikia mainstream media za Marekani na Ulaya zikitangaza, what a double standard!

Wamarekani wa bongo wanasemaje juu ya hili!
 
Ngoja waje utawasikia Mchina anatumia tech zilizogunduliwa na nchi za Magharibi

Mara ooh Mchina anaiba sana IP za Marekani na Ulaya

Tena utasikia Mchina anachofanya ni copy and paste

Na wakati ni wiki iliyopita chuo cha Stanford Univ.., cha Marekani kimekiri na kuomba msamaha wanafunzi wao kuiba Chinese project
for AI model
 
Ni kweli Marekani hajawahi kuwa na aina hii ya robot katika suala zima la upasuaji wa trans-continental live telesurgery

Hapa China is far miles ahead of USA

Ila kwa kuwa ni innovation iliyofanyika China hautasikia mainstream media za Marekani na Ulaya zikitangaza, what a double standard!
Biotechnology inayopatikana barani Asia kwanzia India mpaka Japan na Uchina huko, mmarekani anasubiri sana, anachojivunia sana sana mmarekani ni teknolojia ya kijeshi tu ambayo ndio inailinda sana asije akapoteza ile superiority kwenye nyanja hiyo maana ndio inayompa kiburi cha yeye kuendelea kuwa kiranja wa dunia...

Unaambiwa watu kutoka bara Asia walishaacha kwenda kutibiwa marekani na ulaya miaka mingi sana iliyopita.... kila aina ya matibabu wanayapata huko huko Asia.

Kuhusu media za magharibi kutolipa airtime kubwa jambo kama hili hiyo iko wazi, vita ya kidpomasia na wivu uliokithiri ndio sababu kuu hasa
 
Umesema vyema
 
Mbona unasema uongo mchana kweupe? Polisi ndiyo ilikataa. Peter Madeleka alihangaika sana kuendelea na kesi wakakataa. Anyways jinai haifi na tuombe Mungu iko siku.
Polisi wanakataaje Sijakuelewa. Hii kesi iko open, go and look for law documents za hii case zipo hata google. Mimi nimejibu accordingly na hizo. Naifahamu case na nimeenda kusoma sharrow na nimejibu hapa. Huo uwongo uko wapi. Come up with something ujibiwe. Mbona umeleta swala la rufaa tena, na nimeliongea uongo ukobwapi, quote me.
 
Endelea kujitoa ufahamu
 
Ni kweli Marekani hajawahi kuwa na aina hii ya robot katika suala zima la upasuaji wa trans-continental live telesurgery

Hapa China is far miles ahead of USA

Ila kwa kuwa ni innovation iliyofanyika China hautasikia mainstream media za Marekani na Ulaya zikitangaza, what a double standard!
Kwanini ziandike media za ulaya na marekani? wachina si wana media zao kwani wakiandika wao habari hazitofika zinapotakiwa kufika?
 
Ngoja waje utawasikia Mchina anatumia tech zilizogunduliwa na nchi za Magharibi

Mara ooh Mchina anaiba sana IP za Marekani na Ulaya

Tena utasikia Mchina anachofanya ni copy and paste

Na wakati ni wiki iliyopita chuo cha Stanford Univ.., cha Marekani kimekiri na kuomba msamaha wanafunzi wao kuiba Chinese project
for AI model
Telesurgery sio kitu kipya na infact ni ugunduzi ulioanzia ulaya i.e. france na us na moja wajawapo kilichopelekea ugunduzi ni walianza na swali la what if NASA astronaunt akapata tatizo la kiafya akiwa angani je haiwezekani kumhudumia kutokea duniani?
So kwa sasa based on internet ya 5G hakuna cha ajab chochote walichofanya hao wachina wako maana unachotaka wewe tuamini ni kuwa walichofanya hao wachina ni kitu cha ajabu mnooo kiasi kwamba ulaya marekani hawatoweza fanya! Wakati ni just kuwa na real time internet connectvity, surgeon, consoles, robots na madaktari kwa upande alipo mgonjwa.
Na ndiyo maana hiyo habari hata ukiigogle utakutwa imeandikwa na media za kawaida kabisaaaa tena chache mnoo yaan siyo tukio la kushangaza dunia hata.
 
Ni mpya kwako huo. Upasuaji kahuo ulishafa
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans.

The world's first transcontinental live telesurgery

Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje?

Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine.

Huu ni mfumo wa kitabibu wa upasuaji kwa kutumia robot (robotic surgery) uliotengenezwa na timu ya wataalamu wa China.

Ambapo madakatri wa Kichina walikuwa Rome, Italy mubashara wakimfanyia upasuaji wa tezi dume mgonjwa aliyekuwa Beijing, China na kufanikiwa.

Roboti za upasuaji zilikuwa China (Asia)na madaktari Wachina operators walikuwa Rome, Italy (Ulaya) umbali wa km 8100.

Haya ni mapinduzi ya kwanza ya kitiba kufanywa duniani. Wataalamu mbalimbali duniani wamesema huenda miaka ya mbeleni wagonjwa hawatahitaji kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya upasuaji wa matatizo makubwa ya kiafya.

Daktari Mchina akiwa Rome akimfanyia upasuaji mgonjwa aliye Beijing kwa kutumia robot
View attachment 3014671
View attachment 3014683

#Made in China 2025 (MIC25)

Huu nin mpya kwako. Upasuaji kama huo ulishafanyika miaka ya nyuma kwa mgonjwa akiwa London na madktari wakiwa New York, Marekani!!
 
Ni mpya kwako huo. Upasuaji kahuo ulishafa
Mchina wa JF kashangaaa kashangaaa tena wakati US na Europe hiyo tech wanayo kitambo tu na mtu mgonjwa akiwa france alifanyiwa operation na surgeoon akiwa US tena 2001 miaka 23 baadae ndo wachina wake nao wao wanafanya tena wakifanya kutokea ulaya.
Habari hiyo hapo chini.

The birth of telesurgery didn’t happen with everyday procedures in mind. In fact, it was issues away from Earth that got the robotic doctor movement going. As soon as people began to truly consider human spaceflight, they started to wonder how they might treat a human thousands of miles away from any doctor. In the 1970s, Nasa suggested that researchers look into the option of remote-controlled robots to operate on astronauts. Since then, Nasa and the US Army have worked steadily to create reliable robots that could operate on somebody at a distance.

But, as with most things that begin with space and the military, the innovations of telesurgery research have also been bleeding into civilian life. In 2001, the first transatlantic operation was conducted by surgeons in New York on a patient in France. And in recent years, the first market-ready robotic surgeon called the da Vinci system has been introduced, usually controlled by a surgeon nearby.
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Telesurgery sio kitu kipya na infact ni ugunduzi ulioanzia ulaya i.e. france na us na moja wajawapo kilichopelekea ugunduzi ni walianza na swali la what if NASA astronaunt akapata tatizo la kiafya akiwa angani je haiwezekani kumhudumia kutokea duniani?
So kwa sasa based on internet ya 5G hakuna cha ajab chochote walichofanya hao wachina wako maana unachotaka wewe tuamini ni kuwa walichofanya hao wachina ni kitu cha ajabu mnooo kiasi kwamba ulaya marekani hawatoweza fanya! Wakati ni just kuwa na real time internet connectvity, surgeon, consoles, robots na madaktari kwa upande alipo mgonjwa.
Na ndiyo maana hiyo habari hata ukiigogle utakutwa imeandikwa na media za kawaida kabisaaaa tena chache mnoo yaan siyo tukio la kushangaza dunia hata.
Cc: BlackPanther

Nilikwambiaje mkuu njoo ujionee
 
Back
Top Bottom