COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Kumbe this development was too real
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umepotea njiaKwa upande wangu cioni umuhimu wa kujenga skyscrappers ...hazina impact kwenye economy kama industries ..ndo maana magufuli ana discourage sana ujenzi wa skyscrapper na ana support indistries ...industries employ masses na zina big impact kwenye uchumi
umepotea njia
what happens in Magufuliland stays in Magufuliland
naona unakuja kwenye line. Ke na Tz in tofauti. there is no skyscrapper boom in dar simply because there is no demand! years after Tpa, Mnf kujengwa, there are no tenants.Okay mpka hizo apartments zije kujaaa ni 40years to come ..kumbuka not many kenyans can afford those ..while at the same time mnajenga affordable houses and kuna projects nyngne kama 88 cjui ..huyu mchina kaingia chaka
Tpf na mnf hazina tenants?naona unakuja kwenye line. Ke na Tz in tofauti. there is no skyscrapper boom in dar simply because there is no demand! years after Tpa, Mnf kujengwa, there are no tenants.
skyscrappers in Kenya zinajengwa na private developers wakati Tz ni serikali ndio inajenga. serikali ikisema basi ni basi... sasa utakataza private developers kutojenga kwa sababu gani?
Tpa na pspf ziko empty mtungi alafu wana jicompare na sisi middle class😀😀😀Tpf na mnf hazina tenants?
kabisa. ikifika usiku the upper half floors ni giza totoro. you need to see them pictures of their ghost towers at night.Tpf na mnf hazina tenants?
Signaling the end of skyscraper construction in Tanzania na huwezi waona kina Geza Ulole, mulisaaa , Ichoboy 01 game over , this dayes hapa.kabisa. ikifika usiku the upper half floors ni giza totoro. you need to see them pictures their ghost towers at night.
Afadhali waishi Tandale, mbagala and other slums kwa kukosa hela za kutosha? Sasa kama skyscrapers watz hawawezi afford kukodisha naona ndio sababu kuu nusu ya PSPF na MNF haina tenants hivyo kukadiria hasara kubwa Baada ya ujenzi.Hio biashara kwa bongo hailipi mtu anaefikia uwezo wa kukaa kwenye hizo apartments anaona ni rahisi zaidi kujenga nyumba yake mwenyewe aishi na familia yake kuliko kukaa mna share na watu tofauti wenye tabia tofauti........ndo maana hizo project huku zimebuma wanaoishi humo sanasana ni wahindi au wageni tu wanaokuja na kuondoka ila wazawa wengi hizo hawapendelei labda waweke gest tu humo au hotel tutajazana tofauti na Kenya asilimia kubwa watu ardhi hawana hizo lazima zifurike
Huku kuanzia maskini hadi matajiri hamna anaependa kuishi kwenye apartments mtu kama anauwezo wa kujenga anaona bora ajijengee mwenyewe tu mahali pake mwenyewe ajinafasi hizo apartments wanakaaga raia wa kigeni kwa sana kukuta mzawa kakaa kwenye apartment kwa huku ni nadra sanaAfadhali waishi Tandale, mbagala and other slums kwa kukosa hela za kutosha? Sasa kama skyscrapers watz hawawezi afford kukodisha naona ndio sababu kuu nusu ya PSPF na MNF haina tenants hivyo kukadiria hasara kubwa Baada ya ujenzi.
Nyinyi huko ardhi ni ishu lazima mbanane kwenye hayo majumba ya kupanga huku hayo madude labda mtu achukue nafasi ya office tu ila kuishi humo kama mpo kwenye nyumba za kota hatujazoea hayo maishaTpa na pspf ziko empty mtungi alafu wana jicompare na sisi middle class😀😀😀
Umasikini Dar unawazuia wananchi kuchukua apartmentsHuku kuanzia maskini hadi matajiri hamna anaependa kuishi kwenye apartments mtu kama anauwezo wa kujenga anaona bora ajijengee mwenyewe tu mahali pake mwenyewe ajinafasi hizo apartments wanakaaga raia wa kigeni kwa sana kukuta mzawa kakaa kwenye apartment kwa huku ni nadra sana
Ziko 95percent vacant kwanza sana sana pspf, tpa angalau floors kama tano zinatumika.kabisa. ikifika usiku the upper half floors ni giza totoro. you need to see them pictures of their ghost towers at night.
Mbona Moscow ardhi ni kubwa kushinda dar lakini bado wanajenga skyscrapers😀😀😀Nyinyi huko ardhi ni ishu lazima mbanane kwenye hayo majumba ya kupanga huku hayo madude labda mtu achukue nafasi ya office tu ila kuishi humo kama mpo kwenye nyumba za kota hatujazoea hayo maisha
Kwa kweli TZ bado mpo mbali sana kwa developed world.Nyinyi huko ardhi ni ishu lazima mbanane kwenye hayo majumba ya kupanga huku hayo madude labda mtu achukue nafasi ya office tu ila kuishi humo kama mpo kwenye nyumba za kota hatujazoea hayo maisha
Tpa na pspf ziko empty mtungi alafu wana jicompare na sisi middle class😀😀😀
Na Dar skyscrapers are office space. Za Nairobi most coming up ni residential. Watu wamesahau the 126m complete Le Mac btwnaona unakuja kwenye line. Ke na Tz in tofauti. there is no skyscrapper boom in dar simply because there is no demand! years after Tpa, Mnf kujengwa, there are no tenants.
skyscrappers in Kenya zinajengwa na private developers wakati Tz ni serikali ndio inajenga. serikali ikisema basi ni basi... sasa utakataza private developers kutojenga kwa sababu gani?