Chinese Investor to built eight 34-Storey apartments In Ngara, Nairobi .

we jamaa wacha kuaibisha..sasa morocco ndo nn bana? yaani nyote mnashangilia ujinga tu...ukuta, emergencu landing sasa morocco square😀😀😀
Unataka kusema mmezidi morroco ama nn? Unataarifa kuna uwezekano world cup baada ya urusi inaweza fanyika morroco??? Wameendelea kuliko unavyodhan,btw naheshimu mnajitahidi
 
[emoji23][emoji23]
Acha masihara yako sasa hv mnapata homa mkisikia Dar na bado
hahaha Dar yaani tunaiangazia kama Kampala au Kigali tu...hapa hakuna competition maybe afrika kusini na morocco...na hapa simaanishi morocco square by the way😀😀😀😀
 
Unataka kusema mmezidi morroco ama nn? Unataarifa kuna uwezekano world cup baada ya urusi inaweza fanyika morroco??? Wameendelea kuliko unavyodhan,btw naheshimu mnajitahidi
morocco square jengo sio nchi bana...mbona nikama nazungumza na mbuzi?😀😀
 
Morocco square ni mradi mkubwa sio wa kubeza bila kujua undani wake. ..
Unahitaj maelezo kidogo, pale wanauwezo wa kuegesha magari 2000 kwa pamoja,kuna majengo mawili ya office moja kina 20 flr jingine 17flr,kuna residential block lenye 22 flr, hotel ya nyota 4 yenye 13flr,Mall yenye 20000sqm, juu kuna helipad...kwani nn hakieleweki
 
😀😀😀hio ndio the best in Tanzania au?
 
Ati kasarani lol nyie jamaa kuukuu sana...mna two river pekee ndio kitu cha kisasa mnaweza jivunia
Nionyeshe ya Tanzania nzuri kushinda hii kama mnayo. Uzuri wa kitu sio upya, ni quality.😀😀😀
 
Morocco square ni mradi mkubwa sio wa kubeza bila kujua undani wake. ..
Unahitaj maelezo kidogo, pale wanauwezo wa kuegesha magari 2000 kwa pamoja,kuna majengo mawili ya office moja kina 20 flr jingine 17flr,kuna residential block lenye 22 flr, hotel ya nyota 4 yenye 13flr,Mall yenye 20000sqm, juu kuna helipad...kwani nn hakieleweki
Sasa hiyo ndio wataka kulinganisha na 8 towers za 34 floors?
 
😀😀😀hio ndio the best in Tanzania au?
Nope...tuna project nyingi kwa sasa ziko uc moja baada ya nyingine utapata update zake mfano kuna jengo me MNF lenye flr 30 mawili ni 5*hotel zile...labda useme kenya mnahotel gani yenye 5* lenye ukubwa huo
 
Kuna mzizima towers nayo ni 37flr kwa 33 flr apo kuna office kibao na migahawa pamoja na mall...mwaka huu mnaziona nisiwe muongeaji sana
 
Nope...tuna project nyingi kwa sasa ziko uc moja baada ya nyingine utapata update zake mfano kuna jengo me MNF lenye flr 30 mawili ni 5*hotel zile...labda useme kenya mnahotel gani yenye 5* lenye ukubwa huo
Majengo yenu ya maana yote yameanza kujengwa between 2008 na 2014 Before 2008 na after 2014 hamna kitu cha maana.
 
Majengo ya maana kwanza bot yenu ni kihoja umeona bot ya Dar? Hamna kitu mnafanya
 
Hakuna kitu kama bot ya Kenya wewe. bot ni ya Tanzania pekee. Hivi wewe unaweza linganisha Times Tower na jengo la TRA? Hivi KICC unaweza linganisha na Nyerere Conference centre? Na I&M Bank Tower unaweza linganisha na jengo la Access Bank huko kwenu? Acha umbumbumbu wewe.
 
Weka bank kuu ya kenya apa kama unaubavu ,poyoyo
 
Kwa upande wa nyumba Hamna chakutueleza
 
Weka bank kuu ya kenya apa kama unaubavu ,poyoyo
Weka TRA hapa kama una Ubavu.
kenya95.jpg
 
Sasa nyie wakenya mtafanya buashara ipi wakati zote mnawaachia wachina.

Nawaonea huruma sana
 
Back
Top Bottom