Chinese Investor to built eight 34-Storey apartments In Ngara, Nairobi .

All the completed towers in Dar are almost empty Hohoho
with a 1% occupancy rate ndio maana mji umerudi kulala ju mlishindana na Nairobi which has many expatriates, a city with multinationals, that's why hizi nyumba zinajengwa kuhouse those overseas business travellers hehe
 
Wao boom yao iliisha 2014. Skyscraper zilizoanza kujengwa 2014 hizo zinakamilika. Zikikamilika ni hivo, mji unalala.
Hao watu walikuwana tusi Nairobi sana eti imebaki na majengo ya zamani lakini hawapatikani walikimbia wote skyscrapercity
 
Apartment imetoa watu povu mngejengewa kama morroco square si ndio tungekoma umu
Na akili zako unaweza linganisha Morocco Square na hizi apartments wewe? Morocco Vijengo vitatu hata havijafika 20 floors ulinganishe na 8 towers of 34 floors each? You understand when complete these will be more than the total tally of towers over 30 floors in the whole of Tz.
 
Tuonyeshe render ya hiyo project. Am just waiting😀😀 Ukiipata ni tag😀😀
 
Apartment imetoa watu povu mngejengewa kama morroco square si ndio tungekoma umu
Ficha upumbavu nairobi haina mshindani africa kwa mwendo huu,ushindani wetu utakuwa wa kina(philipines) manila na( Malaysia) Kuala Lumpur ,hiyo morocco squre unathani hatujui ni majengo ya ghorofa 13,16,17,20 sasa unaeza linganisha na avic ya 29,30,30,30,35,42 ambayo iko u/c.....lazima mkubali mapema Nairobi si size ya dar nyie mkajilinganishe na kampala uko
 
Tuonyeshe render ya hiyo project. Am just waiting😀😀 Ukiipata ni tag😀😀
Ugua pole pole Nairobi si size ya dar nyie watani wenyu kampala na mombasa, wapinzani wa nairobi kwa sasa ni Kuala Lumpur 😀😀😀😀
 
Ficha upumbavu nairobi haina mshindani africa kwa mwendo huu,ushindani wetu utakuwa wa kina(philipines) manila na( Malaysia) Kuala Lumpur ,hiyo morocco squre unathani hatujui ni majengo ya ghorofa 13,16,17,20 sasa unaeza linganisha na avic ya 29,30,30,30,35,42 ambayo iko u/c.....lazima mkubali mapema Nairobi si size ya dar nyie mkajilinganishe na kampala uko
Usiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenz
 
Narudia watani wenyu ni kina kigali na kampala sisi tunashindana na Kuala Lumpur 😀😀😀
 
Usiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenz
I actually never thought you placed such high regards on those Morocco Dwarfs. To me they're just normal buildings next door.
Kasarani indoor arena😀😀😀
moi-international-sports-centre-3.jpg
 
They have already been, China tightened its grip on Kenya's economy, extending about Sh165 billion in loans last year, and controls 68% of your bilateral debt

They own Kenya in bigger stakes and I like that
plz just shut up...your very annoying...this matter doesnt even involve you
 
I actually never thought you placed such high regards on those Morocco Dwarfs. To me they're just normal buildings next door.
Kasarani indoor arena😀😀😀
moi-international-sports-centre-3.jpg
Ati kasarani lol nyie jamaa kuukuu sana...mna two river pekee ndio kitu cha kisasa mnaweza jivunia
 
haha hasira za mkizi hizi...unajua hio stadium ilijengwa kabla yako kuzaliwa...kenya maendeleo tumezoea tangu 70s...nyie mnajenga nchi 2014 lakini huku hakukaliki...tz kabla ya 2010 ilkua kichaka tupu
 
Usiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenz
we jamaa wacha kuaibisha..sasa morocco ndo nn bana? yaani nyote mnashangilia ujinga tu...ukuta, emergencu landing sasa morocco square😀😀😀
 
haha hasira za mkizi hizi...unajua hio stadium ilijengwa kabla yako kuzaliwa...kenya maendeleo tumezoea tangu 70s...nyie mnajenga nchi 2014 lakini huku hakukaliki...tz kabla ya 2010 ilkua kichaka tupu
[emoji23][emoji23]
Acha masihara yako sasa hv mnapata homa mkisikia Dar na bado
 
Back
Top Bottom