Chinese Investor to built eight 34-Storey apartments In Ngara, Nairobi .

Chinese Investor to built eight 34-Storey apartments In Ngara, Nairobi .

Nyie Watanganyika ni ipi munayofanya? Kuna kampuni ipi kubwa Tanzania isiyo ya Muhindi, Mwarabu, Mzungu au Mchina?
Almost zote ukiona wanamiliki wao ujue wamenunua share kwasababu kama ni viwanda vijegwa na mwalimu kipindi cha ujamaa ilipofeli serikali tukauza share na most of them vilinunulia na sisi wenyewe ni juzi tu mtanzania mwenzetu ametoka kuwekeza bilioni 50 kwenye kiwanda cha kutengeza dawa
 
Blah blah blah......mmeshindwa kumiliki Kampuni mnaziuza? Hivi Azam muhindi aliinunua kutoka kwa nani?
 
Hata ya majengo yaliyopo posta asilimia 95 yanamilikiwa na NHC na sisi wenyewe
...............and you think that's a good idea? lol😀😀😀😀 No wonder since 2014 hakuna skyscraper imeanza kujengwa Dar na zilizojengwa hazina tenants.
 
AZAM sio ya mhindi ni mtu wa pemba ambayo ni sehemu ya tanzania
Wee boya ukimtazama huyu unaona anakaa mwafrika kama Magufuli wewe?😀😀😀
saidm.jpg
 
...............and you think that's a good idea? lol😀😀😀😀 No wonder since 2014 hakuna skyscraper imeanza kujengwa Dar na zilizojengwa hazina tenants.
Hapana toka 2014 zipo zilizojengwa labda changamoto itakuwa hapo kwenye tenants
 
Hahahaha! Kumbe unakumbuka? What's your name on SSC?[/QUOTE I've been a follower since 2014, bt im waiting to join officially after the First concrete pour of the pinnacle......that's what i promised myself since 2014.
 
Haha, 70/46 Floor 320 metres, THE PINNACLE ndio zimamoto Africa nzima, mitanzania hamna ubishi humu, Nairobi leads the whole of Africa in skyscraper city construction.Even CTBUH knows this well.
 
Back
Top Bottom