LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
I wish like the other 5 or so proposed would materialise. But my guess wanawait for Pinnacle wamalize jengo lao.kabisa. ikifika usiku the upper half floors ni giza totoro. you need to see them pictures of their ghost towers at night.
Height is not measured by number of floors.And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa but most are not super tall ..it is right to say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq
Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
Height is not measured by number of floors.
Kibera mmewapa na wanarudi kwenye matakataka yao kumbe matajiriUmasikini Dar unawazuia wananchi kuchukua apartments
Na huku zinajengwa kwani hazijengwi ila haziwezi kua kwa wingi kama huko mana nyinyi ndo mnazihitaji sana kuliko sieMbona Moscow ardhi ni kubwa kushinda dar lakini bado wanajenga skyscrapersπππ
Shida huko mnanyonyana sana kama wageni wanaweza ku afford hizo basi mwananchi wa huko hataangaliwa huko kuna mambo mengi mazuri ila yanawanufaisha wageni tu na percent ndogo ya wazawa wa huko ambao wana pesaMost of Kenyans are very risk averse.msee anaearn ata 30k am a biz inampa 30k na ataamua kuenda kuishi kwa nyumba ya 3k.Watu wengi hapa wanadhani wrote wanaoishi slums Kenya are poor people not knowing kuwa wengi wanadoo ila wanalenga expenses za rent.I think the government is trying tu push for building houses for low income earners n to succeed thy have to promise tax Holidays for the investors.
Supertall is 300m+And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa butmost are not super tall..it isrightto say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq
Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
Like I always say, your construction boom was between 2008 and 2014. At 2018, we are at the end of your construction boom. The towers that you posted are all towers that began construction between 2008 and 2014. Remove those years and Dar has no tower over 30 floors.And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa but most are not super tall ..it is right to say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq
Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
Like I always say, your construction boom was between 2008 and 2014. At 2018, we are at the end of your construction boom. The towers that you posted are all towers that began construction between 2008 and 2014. Remove those years and Dar has no tower over 30 floors.
Meanwhile Nairobi's construction is always constant - no booms. It's only in the 1990s and early 2000s when nothing was going on in Nairobi but all the other years from independence Nairobi has always had constant construction. While you brag about those 9 towers topped out (Actually 8, LAPF is 27 floors high) that are the only towers complete and UC over 30 floors in Dar, Nairobi has the following:-
Complete:-
Times Tower (33 floors)
Britam Tower (31 floors)
UAP (33 floors)
Prism (34 floors)
U/C:-
Montave - 2 (30 & 40 floors)
Pinnacle - 2 (45 & 70 floors)
Nairobi Business Global Centre - 6 (43, 35, 30, 30, 30, 30, 30, 30 floors)
River Estate Housing - 8 (34 floors each)
CBK Pension House (30 floors)
That's a total of 23 towers for you.
Ziliongezeka boss. Na sio Avic pekee iko under construction, CBK inaelekea 4th floor, Montave na Pinnacle ziko foundation. River Estate pekee ndio bado wako site clearance. Nilikwambia kwa skyscraper Nairobi ligi yake iko Johannesburg na Luanda.Kati ya hizo c ni avic tu ndo iko under construction ..and from when 28flrs zimekuwa 30flrs