Chinese Investor to built eight 34-Storey apartments In Ngara, Nairobi .

kabisa. ikifika usiku the upper half floors ni giza totoro. you need to see them pictures of their ghost towers at night.
I wish like the other 5 or so proposed would materialise. But my guess wanawait for Pinnacle wamalize jengo lao.
 
And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa but most are not super tall ..it is right to say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq

Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
 
Kama walijenga Mavoko great wall gardens na wakaziuza zote... na wakajenga nyumba zaidi ya 2, 000 na wakaziuza.... hili jengo la 24 story bado halitoshi mboga... inasemekana nairobi iko na demand ya nyumba mpya za kuishi 200, 000 kila mwaka, lakini supply inafika 50, 000 pekee kila mwaka... halafu market ya low cost housing pia bado haijashika, ndio maana kuna wale watu wa chini kabisa waishia kukodisha nyumba ya bati kibera, analipa 1, 300ksh kwa mwezi wakati angeongeza 500 angeweza kuishi kwa besitter ya low cost housing, ni vile tu hakuna mtu anajenga, sahii naskia wajenzi watapewa incentives wakijenga low cost housing kwa wingi
 
Most of Kenyans are very risk averse.msee anaearn ata 30k am a biz inampa 30k na ataamua kuenda kuishi kwa nyumba ya 3k.Watu wengi hapa wanadhani wrote wanaoishi slums Kenya are poor people not knowing kuwa wengi wanadoo ila wanalenga expenses za rent.I think the government is trying tu push for building houses for low income earners n to succeed thy have to promise tax Holidays for the investors.
 
And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa but most are not super tall ..it is right to say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq

Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
Height is not measured by number of floors.
 
Mbona Moscow ardhi ni kubwa kushinda dar lakini bado wanajenga skyscrapers😀😀😀
Na huku zinajengwa kwani hazijengwi ila haziwezi kua kwa wingi kama huko mana nyinyi ndo mnazihitaji sana kuliko sie
 
Most of Kenyans are very risk averse.msee anaearn ata 30k am a biz inampa 30k na ataamua kuenda kuishi kwa nyumba ya 3k.Watu wengi hapa wanadhani wrote wanaoishi slums Kenya are poor people not knowing kuwa wengi wanadoo ila wanalenga expenses za rent.I think the government is trying tu push for building houses for low income earners n to succeed thy have to promise tax Holidays for the investors.
Shida huko mnanyonyana sana kama wageni wanaweza ku afford hizo basi mwananchi wa huko hataangaliwa huko kuna mambo mengi mazuri ila yanawanufaisha wageni tu na percent ndogo ya wazawa wa huko ambao wana pesa
 
Rier Estate Housing Development?!...Wakija kufanya 'Real Estate Housing development' naomba uniite.
 
And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa but most are not super tall ..it is right to say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq

Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
Supertall is 300m+
There is only 1 Supertall Tower U/C in Africa.... in Nairobi
 
And the truth is construction boom ya Dar haijapungua coz kuna towers nynge zinajengwa but most are not super tall ..it is right to say construction boom ya super tall above 35flr/150m+ buildings imepungua kidogo na hii ni kutokana na super boom iliyotokea katika ujenzi wa hiz ndan ya muda mfupi .we have 10 30+ buildings topped out greater than any east n central african city ..ndan ya 8 years hiv
Pspf a n b
Tpa
Mnf a n b
Mzizima a n b
Lapf
Ppf hq

Just mention for me 9 over 30 flrs topped out in nairobi
Like I always say, your construction boom was between 2008 and 2014. At 2018, we are at the end of your construction boom. The towers that you posted are all towers that began construction between 2008 and 2014. Remove those years and Dar has no tower over 30 floors.
Meanwhile Nairobi's construction is always constant - no booms. It's only in the 1990s and early 2000s when nothing was going on in Nairobi but all the other years from independence Nairobi has always had constant construction. While you brag about those 9 towers topped out (Actually 8, LAPF is 27 floors high) that are the only towers complete and UC over 30 floors in Dar, Nairobi has the following:-
Complete:-
Times Tower (33 floors)
Britam Tower (31 floors)
UAP (33 floors)
Prism (34 floors)

U/C:-
Montave - 2 (30 & 40 floors)
Pinnacle - 2 (45 & 70 floors)
Nairobi Business Global Centre - 6 (43, 35, 30, 30, 30, 30, 30, 30 floors)
River Estate Housing - 8 (34 floors each)
CBK Pension House (30 floors)

That's a total of 23 towers for you.
 
Kati ya hizo c ni avic tu ndo iko under construction ..and from when 28flrs zimekuwa 30flrs
 
Ziliongezeka boss. Na sio Avic pekee iko under construction, CBK inaelekea 4th floor, Montave na Pinnacle ziko foundation. River Estate pekee ndio bado wako site clearance. Nilikwambia kwa skyscraper Nairobi ligi yake iko Johannesburg na Luanda.
 
Back
Top Bottom