Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

We Kenge..umesahau EPA, ESCROW, IPTL, TWIGA, GAS ILIOUZWA WA WACHINA, WATUMISH HEWA, DAWA ZA KULEVYA, RICHMOND.
Kaa kimya..leo tunaona madaraja, flyover, meli zilizonunuliwa, ukarabati wa shule kongwe, viwanja vya ndege, ndege 11..watoto wamasoma buree..
Wakat hizo pesa za escrow zilipopigwaa hayo yote hayakuwepo.
Kaa kimyaa nyau kabisaa ww..
Hizo ndege ulizzotaja kwenye orodha yako unajua zimesababisha hasara ya sh ngapi mpaka sasa?. Au unaropoka tu
 
This is pathetic , fight the system not the individual dictator, yule aliyekuwa anacheka na kuiba ndiyo mzuri? Hapo ndiyo mnapoteza focus ya upinzani. All these are thieves put by the same system
Huyo unaesema aliiba ni kwasababu aliruhusu watu waseme.Jiulize alieziba watu midomo alikuwa anaficha nini?

Tumia kichwa kufikiri na sio kufugia nywele.
 
Acheni uchizi, na kunitoa ufahamu.. hakuna Rais amefanya kazi kubwa za maendeleo kama magufuli.

Mnazungumzia bil 3, enzi za JK watu waligawana Bil 400 za epa.
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL.

Hasara na upotevu huu uliotokea chini ya utawala wa Magufuli, ni mbali na mamilion na mabilioni mengine yaliyopotea katika sekta za utalii, n.k kama inyoonyeshwa katika report ya CAG ya mwaka huu.

Bado hasara zinazotokana na serikali kufunguliwa makesi katika mahakama za usuluhishi za kimataifa bila kusahau hasara zilizotokana na siasa za hovyo za watu kujiuzulu kwa hoja ya kuunga mkono juhudi na kuliingiza Taifa gharama kubwa za mamilion kugharamia chaguzi ndogo.

Kwa kifupi, katika awamu ya Magufuli, Taifa limepata hasara kubwa Katika baadhi ya maeneo na pia kuna fedha nyingi zimetumika na kuacha utata mtupu kama hayo matumizi ya shilingi trilioni moja yaliyohojiwa na wabunge wa upinzani baada ya kuichambu report ya CAG aliepita(Prof.Assad).

Itakuwa ni jambo jema Bunge kuunda kamati teule kuchunguza utata wa matumizi haya ya shilingi trilioni 1.5 ili umma ujue ukweli ni upi na si hizi kelele za MATAGA kutaka kutuaminisha kuwa ufisadi ulidhibitiwa enzi za Hayati Magufuli tofauti na awamu zilizopita.

Kama hamtaki kuchunguza tuhuma hizi, acheni kumlinganisha Magufuli na watangulizi wake, hasa Kikwete, ambae wakati wake Bunge liliweze kuunda kamati teule na kuchunguza tuhuma zinazoihusu serikali, na pia vyombo vya habari viliweza kuanika kashifa mbalimbali za serikali bila kusahau Whistleblowers (kina Tumbili) waliweza kuanika madudu yaliyokuwa yanaendelea serikalini tofauti kabisa na ilivyokuwa wakati wa Magufuli .
 
tenor-2.gif


Mataga walikuwa wanakula tu, mara habari za Lissu kuwa kitu kiko Nairobi zikaingia... hahahahaa...🤣🤣🤣
 
Huyo unaesema aliiba ni kwasababu aliruhusu watu waseme.Jiulize alieziba watu midomo alikuwa anaficha nini?

Tumia kichwa kufikiri na sio kufugia nywele.
Kwa hiyo kuna mwizi mzuri ehee ? JK mwizi mzuri tulijadiri, JPM mwizi mbaya hatukujadiri?
 
Sasa ukisha ujua ukweli itakusaidia nini ndugu. Utazirudisha?

Hiyo ripoti ya CAG ni ya uongo kwa asilimia 80%. Lakini hata kama ni kweli ni bora maendeleo yameonekana nyanja zote.

Sasa tusubiri awamu hii isiyo na upigaji na maendeleo kama Paris yanakuja. RIP JPM
 
Acheni uchizi, na kunitoa ufahamu.. hakuna Rais amefanya kazi kubwa za maendeleo kama magufuli.

Mnazungumzia bil 3, enzi za JK watu waligawana Bil 400 za epa.
Uko sahihi, na kamati iliundwa wakachukuliwa hatua, hizi za sasa kuna dalili yyte ya kuunda kamati unaiona?. Au ndo zishayeya?.
Nikusahihishe, hasara inayozungumzwa na CAG sio Bil 3 bro, pata muda wa kuifuatilia taarifa yake, ATCL tu pekee kiasi hicho kimepitiliza
 
Sasa ukisha ujua ukweli itakusaidia nini ndugu. Utazirudisha?

Hiyo ripoti ya CAG ni ya uongo kwa asilimia 80%. Lakini hata kama ni kweli ni bora maendeleo yameonekana nyanja zote.

Sasa tusubiri awamu hii isiyo na upigaji na maendeleo kama Paris yanakuja. RIP JPM
Maendeleo tulianza kuyaona tangu enzi za mkoloni alipokuwa anajenga reli na mabarabara na hata enzi za Mwalimu unless ulitaka Mwalimu nae ajenge Ubungo Interchange miaka ile.
 
Ni bora hii hasara lakini watoto wetu wanasoma bure, barabara zimejengwa, tuna umeme hadi vijijini, madaraja yamejengwa, kuliko kipindi kile cha mzee wa msoga

We ni pimbi aisee,huwezi hata kutofautisha kati ya kipindi Cha JK na JOPOMA??😟😟,hata aibu huna ndugu yangu!!yaani kwa madudu ya JOPOMA unamsifia hivohivo!!!

Nitajie barabara moja ya km 300 iliyojengwa na Magufuli au uniambie ni kivip elimu bure ni bure kwelikweli?achana na madaraja ambayo hata mbunge anaweza kujenga!

Umeme wa REA upo toka enzi za JK.
Niambie la maana alilofanya JPM zaidi ya kuliingizia taifa hasara kubwa mnoo,na kuwasababishia watumishi wa umma kushona viraka!
 
We hiyo miradi ndio inakufanya usione hasara zilizotokea chini ya utawala wa Magufuli?Hizo bilion 150 zingejenga madarasa mangapi?

Hizo kashifa zote ulizotaja zinafika trilioni 1.5 ya awamu ya mwendazake?

Wakati hizo kashifa zinatokea, yeye hakuwa sehemu ya hiyo serikali?

Wakati wabunge wa upinzani wanapinga sheria ya gesi kupelekwa Bungeni na kupitishwa kwa hati ya dharura, yeye alisimama upande gani?

Kushabikia hiyo miradi ambayo hata mikataba yake huju, ni uzwazwa na pia ni ushamba wa vitu vya kuonekana machoni.

We utakuwa wa kanda ile tu.
Hiyo mirad inaoperate au haioperate? Meli zinasafirisha watu hazisafirishi? Viwanja vya ndege havijakarabitiwa? Shule watoto hawasomi bure?? Vituo vya afya havipo? Acha ushamba mzee..heri utuibie wakat huo huo tunaona tunapata huduma za kijamii hata kama sio bora lakin ni heri kuliko kuzikosa kabisa..awamu zilizopita hela zilikuwa zinapigwa na bado watu wanalia huduma mbovu za serikal..ww ni mmoja kati ya watz wajinga ambao mwalimu asisitiza tuuondoe huo ujinga ila ww bado uko nao mwingi mno.
I am very dissappointed by your views. I gues if you are a graduate probably you are from Yohana University. You are completely incompatible with the current trend especially in the economic percel.
 
Hebu jiongeze Mkuu propaganda hazina maana wakati huu wa utandawazi.

Ikiwa bajeti yetu ya chakula ni shs laki moja, nawe ukatutengenezea cha shs 25 elfu tukae kimya bila kuhoji zilipo shs 75 elfu kwakuwa tumekula chakula??? Aliyeiba shs 10 elfu na aliyeiba buku wote ni wezi wana kesi ya kujibu.
Brother..uwiz haukuanza leo serikalin..ulianza toka enzi za mwinyi..mkapa..kikwete na kabisaa..shida ya watz wanasahau mapema sana..heri uibe huku ukitekeleza mirad mikubwa kwa ajil ya jamii..kuliko kuiba na kakikundi kadogo cha watu ndio kanafaidika..alaf watz wasiwe wajinga..hiyo report ya CAG haina credibility yoyote..mfano mzur angalia tuhuma za ticket pale magogoni ferry..haviendani kabisaa..
 
eti iyoo 1.5 alimpa shost ake ojinga apate uprizidaa kunyaland
 
Back
Top Bottom