Ungetuambia kile unachokielewa huenda tungekuelewa, umetoa povu bure, huelewi hata unachokitetea.....Stupid! Cooked stories from same people. Tunajua Chadema mliumia na mengi ila hapa hatutoangalia sura bali nani anasimama na ukweli bila hila. Mtaelewa baadae ...