Nilipita Nzega kwa......inasemekana Bash amenuia kumuweka mtu wake kwenye jimbo la Kigwa. Na vita ni kubwa as Kigwa hana tena nguvu ya fedha kama kabla.Kuna kipindi miaka ya nyuma hawa jamaa walitishiana hadi bastola, mimi nkajua yameisha kumbe bado tu🤣🤣🤣
Duuuh!Yote majizi tu. Hakuna cha Magogoni, hakuna cha waziri wa sukari wala hakuna cha waziri wa wanyama.
Limefika Magogoni au limefika Mtumba?Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Basi huyo waziri wa zamani, na mbunge Mpina, wapewe maua yao kwa jitihada hizo za kizalendo.Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Huyo Kigwa ni mbinafsi kuliko huyo mwizi, tena hafai hata kwa kulumangila.Nilipita Nzega kwa......inasemekana Bash amenuia kumuweka mtu wake kwenye jimbo la Kigwa. Na vita ni kubwa as Kigwa hana tena nguvu ya fedha kama kabla.
Mpina ana mfumo mpana, hawezi kumtegemea huyo chawa!!Kigwangwala ndiye anampa Mpina Nondo za kumsulubu Bashe. Anyway wote ni mafisi tu ngoja watafunane
Hii JF mkuu, sema hivi, Bashe amtuhumu Mchengerwa kumsagia sumu.Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Wote ni washirikina ila mmoja kamzidi mwenzake,katoa majini yake nje ya mipaka ya nchi.Wote ni kutoka TABORA kumbuka hilo
Kama unaifahamu hiyo imwage hadharani!Hii JF mkuu, sema hivi, Bashe amtuhumu Mchengerwa kumsagia sumu.
Na akileta za kuleta lile sakata lake la uraia tunalianzisha upyaaaaaaahhhhh kwani wakati ule wa JK Rostam ndiye alimkingia kifua kulizima.Mpina ana mfumo mpana, hawezi kumtegemea huyo chawa!!
All in all Bashe kashikwa na ngozi... Ndiye mwizi msimpake mafuta
Huko kwa Mchengerwa ni kama atagusa live wireHii JF mkuu, sema hivi, Bashe amtuhumu Mchengerwa kumsagia sumu.
Alienyimwa pikipiki na kilio Cha ng'ombeHuyo waziri ndio yule wa pikipiki za mkopo?
Wakubali tu ku-co-exist wote wawili.Huyo Kigwa ni mbinafsi kuliko huyo mwizi, tena hafai hata kwa kulumangila.
Uchaguzi uliopita alifosi kwa pesa akapita bila kupingwa hadi Magu akatahayari.
Safari hii akaze misuli kweli kweli.
Itapendeza zaidi!Basi huyo waziri wa zamani, na mbunge Mpina, wapewe maua yao kwa jitihada hizo za kizalendo.
Huyo mwizi ana mbinu za kufurahisha wapiga kura kwa sura ya maendeleo bandia.Wakubali tu ku-co-exist wote wawili.
Kuna mtu sio raia....sasa uhamiaji wana kazi gani!Na akileta za kuleta lile sakata lake la uraia tunalianzisha upyaaaaaaahhhhh kwani wakati ule wa JK Rostam ndiye alimkingia kifua kulizima.
"""Unamaanisha HK, Ndiye amemshika boby mnyororo, na boby anatapika yake au? "" "Kama ni hivyo HK ni intermediate tu yupo mkuu zaidi ya Hk