Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Limefika Magogoni au limefika Mtumba?

Kweli ndiyo maana Rais wa awamu ya pili Mwinyi alikuwa akiitwa nyerere kwa maana ya Rais.

Baada ya uchaguzi mkuu wa 1985 na Mwinyi kuwa Rais, watu wasiomfahamu walikuwa wakiuliza nani kawa 'Nyerere' kana kwamba 'nyerere' ni cheo.
 
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Basi huyo waziri wa zamani, na mbunge Mpina, wapewe maua yao kwa jitihada hizo za kizalendo.
 
Nilipita Nzega kwa......inasemekana Bash amenuia kumuweka mtu wake kwenye jimbo la Kigwa. Na vita ni kubwa as Kigwa hana tena nguvu ya fedha kama kabla.
Huyo Kigwa ni mbinafsi kuliko huyo mwizi, tena hafai hata kwa kulumangila.

Uchaguzi uliopita alifosi kwa pesa akapita bila kupingwa hadi Magu akatahayari.

Safari hii akaze misuli kweli kweli.
 
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Hii JF mkuu, sema hivi, Bashe amtuhumu Mchengerwa kumsagia sumu.
 
Back
Top Bottom