Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

Tunatoka kwenye issue za maana..., nadhani hapa issue ya maana ni kama wizi / ubadhirifu / kutokuwajibika kumefanyika au hakujafanyika...., Hayo mambo yao ya uchawi ni personal na watafunane huko (sisi kama walipakodi huo muda wa kutafuta wachawi atwambie ni vipi anadhani amechawiwa / ameongopewa...
 
Usidhani magogoni kuna jipya. Hiyo sukari wanagawana wote wenye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…