Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa MkuuHizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Huko uhamiaji kwenyewe kuna wahamiaji haramu. Pale mkoani zamani hq ya wizara ya mambo ya ndani yupo mmoja tena mwandamizi ni Mtutsi.Kuna mtu sio raia....sasa uhamiaji wana kazi gani!
Duuuh sasa hili ni balaa mzawa ni nani kati yetu!Huko uhamiaji kwenye kuna wahamiaji haramu. Pale mkoani zamani hq ya wizara ya mambo ya ndani yupo mmoja tena mwandamizi ni Mtutsi.
Mbaya sana kwa kweli......!Waafrika tuna shida...hatukubali makosa yetu tunapenda kusingizia wengne...
Ukikosa kabisa mtu wa kumsingizia, 'shetani kanipitia'
Yeye wakati yupo nje alikuwa anawaponda wenzie...kaingia katoa boko anaanza kulia liaMbaya sana kwa kweli......!
Waziri wa sukari-BasheKama unaifahamu hiyo imwage hadharani!
Michezo ya baharini inahamia nchi kavu ama sivyo!Hata iweje chui hawezi ficha madoa ya ngozi yake. Bashe ni Msomali na wasomali na deal chafu ni kama mgonjwa na uji
Umeona sasa...atulie tu!Yeye wakati yupo nje alikuwa anawaponda wenzie...kaingia katoa boko anaanza kulia lia
Wengi wamebet mchonga vinyago matunguri!Waziri wa sukari-Bashe
Waziri wa wanyamapori wa zamani-Mchengerwa.
Usidhani magogoni kuna jipya. Hiyo sukari wanagawana wote wenye maamuziHizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Analeta pigo zake kukamaa kama ana kifafa cha wima!Ila mpina ni nyoko kaja na fact kiasi kwamba mogadishu akitaka kujitetea anaishia kujamba tu maana kampiga spana za kichwaaa🤣🤣🤣
Imefika makafara kwa wingi!Zamu ya wapiga tunguri kula vya wakubwa
Itafahamika.......!Usidhani magogoni kuna jipya. Hiyo sukari wanagawana wote wenye maamuzi