Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

Majizi ya sukari yanatafutana..
images (42).jpeg
 
Tunatoka kwenye issue za maana..., nadhani hapa issue ya maana ni kama wizi / ubadhirifu / kutokuwajibika kumefanyika au hakujafanyika...., Hayo mambo yao ya uchawi ni personal na watafunane huko (sisi kama walipakodi huo muda wa kutafuta wachawi atwambie ni vipi anadhani amechawiwa / ameongopewa...
 
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Usidhani magogoni kuna jipya. Hiyo sukari wanagawana wote wenye maamuzi
 
Back
Top Bottom