Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia YouTubeWadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran
Ukifanikiwa kuzitengeneza bei yake huwezi uza kiswahili hutapata faidaWadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran
Ntakuwa napunja kama waoUkifanikiwa kuzitengeneza bei yake huwezi uza kiswahili hutapata faida
Nikutajie spices? Unaijua vinegar? Unaweka na unga wa njano kwnye ngano.Ntakuwa napunja kama wao
Hatari umeiona kwenye picha wabongo tumedanganywa sana wanaokula huko wana maisha marefu kuliko Nchi zetu ila kila kukicha tunaona vyakula vyao sio bora...Sijawai ata kuzila hatari sana yani naonaga tu kwenye picha
Kumbe tupo wengi😀
Unga hizi hazishki kama hujaweka ngano. Zile chips zinawekwa vinegar na unga wa njano. Alafu zinachemshwa kidogo unmashedSecret recipe sio siri tena watu wanatoa siri sana ila sio viungo bali ni kiasi unachoweka
Sasa basi kwenye French fries za KFC zinapokatwa huwa wana changanya na Unga wa vitunguu na Unga wa carrots na celery pia butter halafu wanaweka kwenye freezer zigande
Baada ya hapo kabla ya ku.... jisomee Google kumalizia mapishi nimechoka
Ndio maana ikaitwa secret recipe hata kuku wao huoni ladha tofauti?Unga hizi hazishki kama hujaweka ngano. Zile chips zinawekwa vinegar na unga wa njano. Alafu zinachemshwa kidogo unmashed