Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Hili nakubaliana na wewe mana hot kitchen ni pana sana. Mbaya zaidi hotel za bongo mwendo wa kukariri tu. Wanaogundua mapishi mapya wako huko wanatuletea na spices ni zile zile tu. Na huko YouTube hawawek kila kitu.. YouTube wazur sana kwa cold kitchen na pastries.. hata salad sio pa kutegemea
 
Aiseee, uko serious mkuu.
Itabidi nijaribu
 
Unga wa njano wa nini au unamaanisha rangi?
 
Kweli kabisa unachosema ila la kuongezea tu sisi tunajua viungo tulivyo navyo na tulivyozoea tu na hakuna wa kujiongeza
Kuna msomali nilimuona youtube jamaa kasoma nje kaamua kwenda kenya na kuchukua shamba kubwa na amelifanya la kumwagilia
Amepanda Celery, parsley, Dill, caraway, coriander na vingine nimesahau
Yaani kwa sasa anasafirisha uk na Germany
Sasa hata sisi tungevitambulisha nchini kwa wingi mpaka mama ntilie na mahotelini wakatumia nafikiri mapishi na ladha ingebadilika kabisa

Aise viungo vinabadili dish
 
Huku ukilima hvyo bila kusema anaupiga mwingi utazibiwa kauzibe usipate soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…