☕ Chitchat Meeting Point: Kituo cha Kimataifa cha kupiga soga

We babu Mshana Jr hivi hizo picha unazokuwa unazijibia Kwa comments za watu wewe huwa unazitoa wapi?

Ajabu ni kuwa kila siku unaleta picha mpya, hazijawahi kujirudia.

Unazitoa wapi
Huyu Mzee Huwa ananishangaza sana, inamaana ana library kabisa ya picha na amekariri achague ipi ya kutupia kulingana na scenario
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…