Wakuu, hivi hawa viumbe huwa wanatupa nguvu gani? Nimeishiwa nguvu mtoto wa kike bado anadai chenji!
Baada ya ile dharuba ya mwanzo kunyimwa live, jana mambo yalinyooka.
Nikasema ngoja nionyeshe kazi. Nilipiga show ya kufa mtu, nikatoka jasho hadi nguvu zikaisha kabisa, nikajua nimekomesha.
Nikiwa nimejilaza pale hoi hata vidole siviwezi, mtoto wa kike akaniangalia akatabasamu kisha akasema: "
Baby, mbona umelala? Bado nataka bwana, hiyo ilikuwa asha-basti tu!" View attachment 3591996Jamani nilibaki nimekodoa macho gizani. Hivi kuna pafyumu au glucose ya kuongeza nguvu ya haraka? Mzee mzima nimeishiwa pumzi hapa! 😭😂