☕ Chitchat Meeting Point: Kituo cha Kimataifa cha kupiga soga

Enheeee ikawaje nielezeee vizuri🤣🤣
 
Popote alipo DEO mtiifu namuambia yeye hafai hata kwa pilipili ya kulumangia haiwezekani mwenziye nikae mataa ya mafiati usiku mzima walau aje tujumuike kuwasha moto hatokei
Mkuu kawombe wewe ukiwa tayari karibu hata mbeya pazuri mkuu ,maana vijana wananikimbia nikiwaambia mimi ndiye hawaniagi wanaondoka kimya kimya
 
Namna hii ,dah ulimwengu mtamu sana
 
Kazi kipimo cha utu😀
 
kwasababu nakupenda ShesRise_1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…