CHLOROFORM: Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba

Ila nasikia endapo kama kuna chombo chochote kile chenye maji kikiwa wazi basi huwezi dhurika kwani dawa yote huvutwa na maji but hii hoja si ya kitaalam zaidi ni maneno ya vijiweni tu.
Hivyo tunashauriwa wakati wa kulala angalau ndoo moja iwe na maji na iwe wazi kwa ajili ya usalama wako
 
Ahsante kiongozi....Kuanzia Leo ndoo nitaweka maji .
 
Kuna wajinga flani nilipokuwa Dodoma nimelala hotelini ambayo kuna geti, Mlinzi na nyanya za umeme!...ila wajinga waliweza "kunilaza" mpaka saa nne asubuhi wakakomba Simu Laptop, chupi, suruali na taulo za hotel wakatokomea nazo.

Usiku ule nililala kama kitanda kipo juu ya maji katikati ya Ziwa!...baridi kali ila kujigeuza siwezi. Walipitia dirisha la kioo ambalo nililifungua ili kupata kahewa ka Jiji na si li AC !

Nitawakamata tu. Wasidhani nimesahau. Huu mwezi wa tatu hiyo Sumsung haijasoma ikisoma tu nalala nao mbereee
 
Kuna wajinga flani nilipokuwa Dodoma nimelala hitelini kuna geti Mlinzi na nyanya za umeme!...ila wajinga waliweza "kunilaza l" mpaka saa nne asubuhi wakakomba Simu Laptop, chupi, suruali na taulo za hotel wakatokomea nazo.

Usiku ule nilitaka kama kitanda kipo juu ya maji katikati ya Ziwa!...baridi kali ila kujigeuza siwezi. Walipitia dirisha la lipo ambalo nililifungua ili kupata kagawa ka Jiji na si li AC !

Nitawakamata tu. Wasidhani nimesahau. Huu mwezi wa tatu hiyo Sumsung haijasoma ikisoma tu nalala nao mbereee
Relax mkuu,halafu uandike tena
 
Relax mkuu,halafu uandike tena
Lily Tony mpenzi nimesha edit rafiki.

Hawa watu ninahasira nao sana. Mtu umemaliza shughuli iliyokupeleka makao makuu ya Chama na Serikali, umevumilia kutoonja mvinyo kabisa ili usiharibu kazi ya watu. Umefanikiwa. Unaenda kulala ili asubuhi safari ianze kwenda kituokingine.

Mwanaizaya anaruka ukuta wenye waya za umeme na wapenzi, ana slide kipo na kukupulizia hayo madawa nakuomba kila kitu.

Hivi utaacha kuwa na hasira?
 
Madaktari waje hapa!!,chloroform siyo dawa ya kuhifadhi maiti kweli nahisi UONGO MKALI UKO HAPA.
Mkuu ,CHLOROFORM matumiz yake sio kupulizia maiti...inaua mende,viroboto, utitiri, chawa n.k.
Hivo usikariri hata hivo hiyo dawa haijatengenezwa maalum kwa ajili ya maiti au kupulizia watu usingizi....hivi unajua hata pilitoni inaweza kukulewesha.
 
Kuna wajinga flani nilipokuwa Dodoma nimelala hotelini ambayo kuna geti, Mlinzi na nyanya za umeme!...ila wajinga waliweza "kunilaza" mpaka saa nne asubuhi wakakomba Simu Laptop, chupi, suruali na taulo za hotel wakatokomea nazo.

Usiku ule nililala kama kitanda kipo juu ya maji katikati ya Ziwa!...baridi kali ila kujigeuza siwezi. Walipitia dirisha la kioo ambalo nililifungua ili kupata kahewa ka Jiji na si li AC !

Nitawakamata tu. Wasidhani nimesahau. Huu mwezi wa tatu hiyo Sumsung haijasoma ikisoma tu nalala nao mbereee
Pole Mkuu sana ...watapatikana tu hao wezi.
 
Mkuu ,CHLOROFORM matumiz yake sio kupulizia maiti...inaua mende,viroboto, utitiri, chawa n.k.
Hivo usikariri hata hivo hiyo dawa haijatengenezwa maalum kwa ajili ya maiti au kupulizia watu usingizi....hivi unajua hata pilitoni inaweza kukulewesha.
Hii tulikuwa tunatumia kulaza panya na chura kwenye practical za biology A-level
 
Back
Top Bottom