Salange
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 680
- 644
Bado unahitaji kutulia na kuandika upyaLily Tony mpenzi nimesha edit rafiki.
Hawa watu ninahasira nao sana. Mtu umemaliza shughuli iliyokupeleka makao makuu ya Chama na Serikali, umevumilia kutoonja mvinyo kabisa ili usiharibu kazi ya watu. Umefanikiwa. Unaenda kulala ili asubuhi safari ianze kwenda kituokingine.
Mwanaizaya anaruka ukuta wenye waya za umeme na wapenzi, ana slide kipo na kukupulizia hayo madawa nakuomba kila kitu.
Hivi utaacha kuwa na hasira?