Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Kwa hakika na tunayopitia hayo ndio tunaweza kukuelewaKuna ule msemo unasema hakuna kama mama kila nikiutafakari naona kuna watu wana bahati sana,lkn kuna sisi wengine tunapitia machungu sana kwa mama zetu na inakuwa ni siri tu unaitunza moyoni bila kumwambia mtu yeyote!,yaani hadi inafika kipindi unajiuliza huyu ni mama yangu kweli!?
asante kwa darasa huru, je! hasidi ndiyo hasad?Kwa iman ya kiislam Kuna aya moja inasema "wa min shari hasidin idhaa hasad" hii binadam huwa tunamuomba Mungu na ina maana ya "Na unikinge na shari ya hasidi anapo husudu"
Hasad siyo uchawi ila Kuna watu tu wameumbwa akiangalia hata mtoto bas huyo mtoto ataumwa sana, kila atakacho shiriki ni lazima kitaharibika na kwa bahari mbaya watu hawa huwa hawajijui Kama wana hasad inaweza ikawachukua muda mrefu sana wakaja kugundua hata uzeeni.
Nakumbuka nina ndugu yangu ilikua kila akienda kijijin kumsalimia bibi akimpokea lazima amtemee mate na siku ya kuondoka hivyo hivyo siku moja akamuuliza kwann? alificha Ila baadae akamwambie hiyo ni Kinga maana mimi nina jicho la hasad naweza nikaangalia kitu kwa upendo ila kitu hicho kikaharibika, kwahiyo mate yangu ni baraka nakupa ili mambo yawe mazuri, hivyo hivyo hata mimi ninetemewa mate sana na wazee
Hasid ni mtu mwenye hasadasante kwa darasa huru, je! hasidi ndiyo hasad?
bila shaka wewe mwarabu, asante kwa darasa.Hasid ni mtu mwenye hasad
et sio mimi mkuu...akaunga hata ww mama yako mchawiMim mwenyewe nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 mpuuz sanaet sio mimi mkuu...akaunga hata ww mama yako mchawi
nimecheka kingese
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana mama yako alipata uja uzito wako kwa kubakwa.
Hasad ndiyo husda?!Hasid ni mtu mwenye hasad
Eti??? Ya kweli haya?? Jamani sidhani kama ni kweli.Mama??
huyo mama kweli ana wivuKama unajiweza ama mkoa uliopo au wilaya alafu mwambie naishi kigoma mbali kabisa na alipo yeye kuna watu watakataa story yako Mimi mtoto WA shangazi mama yake alikuwa hataki kuolewa ilikuwa akija mchumba kumposa mama anamfata uyo mchumba Kwa Siri anamwambia uongo na kumtisha Hadi bidada anaachika wanaume watatu walimtosa sababu ya mama yake bidada baada ya kujua ilo akaenda kuolewa bila kumshirikisha mama yake na wala home hajajaa kitambo mama analala Tu
Kwanza unaonyesha tayari unachuki na mamako, hayo mengine nikujazia nyama tu. Na unakoelekea utamwua mamako. Changamoto katika utafutaji zipo. Mtangulize Mungu hayo mengine ni hisia tu. Kuna miaka fulani nilikumbana na hali ya kuachishwa kazi kila inapofika mwezi wa nane mpaka ikafikia nikipata kazi sehemu nahakikisha mwezi wa nane nachukuwa likizo. Lakini baadae nilipuuza hizo hisia na kuamini katika ukuu wa Mungu na maisha yakaenda.Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Asante kwa ushauri mzuri uliompatia, kwa kuongezea aache kujenga chuki kwa mamake. Tunasoma maelezo yake lakini pengine mama angekuja hapa stori ingekuwa tofauti kabisa. Anako elekea atamwua mamake.If you believe in God, Mlaani shetani na upambane kutoa sadaka na kufanya amali njema.
Usiruhusu mawazo ya kishirikina. That is your Mom for crying out loud.
Huyo Kaka yako teja Mama yako kumpenda haimaanishi anything other than a Mother's pure love for her kids na ukizingatia hali ya kaka yako.
Praying for you and your Mom.
Sasa utajuaje kama kafa 😂😂