Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

Hata kitu ukiwaambia marafiki au ndugu huwa hakifanikiwi sijui kwanin

Jambo lako lifanye watu washtukie wanaliona tu bs Ndio dawa...
Mtu wa kumshirikisha ni mumeo tu au mkeo bs kama mna maelewano mazuri..
 
Hatari sana, sasa nimeamini wewe kweli ni fearless fighter
 
mkuu unapenda sana chocolate eeenh?
 
Kama haina ulazima usimuhusishe na chochote kile hasa kama kinahusu maendeleo yako binafsi also jitahidi kufanya ibada labda mama ana roho ya mikosi.
Hapa napiligilia msumari wa 8inch
 
Kujifanya kama huamini ushirikina upo wakati hata kwenye maandiko matakatifu umeandikwa na umesha elezwa katika visa vingi tu hakika wewe utakuwa unataka kutuzingua.
 
Aisee duniani kuna changamoto sana wakati Wengine unana kabisa bila maombi ya mama hakika mambo yangekua magumu sana sio tu kwangu hata kwa ndugu zangu.. Mama yangu ni zaidi ya baraka kwenye maisha yangu Mungu ampe maisha marefu
 
Hiyo fitna siyo wewe,inaonekana umepandikizwa na mke wako.Kama mama yako angekuwa mbaya kwa nini asingekudhuru ukiwa bado mdogo?umejitambua sasa hivi unapata nguvu za kumshutumu mama yako?
 
Somemtimes wazazi ukiwaonyesha mipango yako mizuri hawachelewi kwenda kuyatangaza kwa watu wengne eiza ndugu zak au mashoga zake ndo hapo wakati mwingine vipengele vinavyoanzia
Safi kabisa mkuu ndivyo hilivyo, muhimu sasa ni kufanya kimya kimya baada ya kufanikisha ndio anampa story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…