Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kaa na mumeo mjipange vizuri wewe ajuzaDada mbona una hasira sana?
Mbeya tumejaa Kila sehemu kuanzia kina Apson Mwang'onda,General Mwamunyange Hadi Kwa General Mboma.
Dada yangu Mbeya tuna akili sana
Mkuu acha utoto,hoja kama zako saizi yake ni Facebook.Usipende kujifanya mjuaji,humu hakuna mtoto,humu wamo watu wazima walioshuhudia tawala za awamu zote na wapo ambao wameshuhudia tawala za karibuni za Tanzania.Ata sisi tunajua mengi kuliko unavyodhani wewe unajua;Samia is an incompetent president Tanzania has ever had!Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure [emoji16][emoji16][emoji16]
Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?
Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.
Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?
Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
Kuna kuzurura na kuigiza umezisahau.Magu pamoja na ukatili wake lakini alikuwa anapiga kazi, huyu bibi tozo kazi kubwa ni kuteua kutengua na kuhamisha.
Jamaa anapiga stori kama anaongea na watoto wake humu jamvini,kila kitu anajua yeye!wewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupo
We mpumbavu nini,una nini Cha kunipangia?Mkuu acha utoto,hoja kama zako saizi yake ni Facebook.Usipende kujifanya mjuaji,humu hakuna mtoto,humu wamo watu wazima walioshuhudia tawala za awamu zote na wapo ambao wameshuhudia tawala za karibuni za Tanzania.Ata sisi tunajua mengi kuliko unavyodhani wewe unajua;Samia is an incompetent president Tanzania has ever had!
Na huo ndiyo ukweli,ficha upumbavu wako!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unadhani ukichukia Kwa sababu najua itakusaisia nini? Mimi najua kweli siigizi.Jamaa anapiga stori kama anaongea na watoto wake humu jamvini,kila kitu anajua yeye!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
📌📌🔨 Dada Mimi huniwezi kama huna takwimu unashinda kwenye porno utaaibika.Kaa na mumeo mjipange vizuri wewe ajuza
Mumeo mbona mstaabu lakini wewe huna akili📌📌🔨 Dada Mimi huniwezi kama huna takwimu unashinda kwenye porno utaaibika.
Siongeagi ujinga mnaodanganyana chumbani na mumeo.
Hayo ndiyo maeneo yakeKuna kuzurura na kuigiza umezisahau.
Acha matusi Mkuu hakuna Mnyakyusa mjinga,na siyo kila anayeanza jina na Mwa ni Mnyakyusa.Hii mwa inawafanya wanakuwa wajinga sn
Huyo ni Mlutheri anayesaka urais kwa udi na uvimba.Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
Nakuelewa mkuuAcha matusi Mkuu hakuna Mnyakyusa mjinga,na siyo kila anayeanza jina na Mwa ni Mnyakyusa.
Mwa maana yake ni "mwana au mtoto wa"kunasibisha mtu na ukoo au jamii fulani.
Kwa mfano Iringa wapo wakina Mwakipande,Mwamoto,Mwagito na Njombe wapo akina Mwanyika nk.
Kwa Mbeya Wanyakyusa wapo akina Mwakang'ata,Mwandosya,Mwakyembe nk.Na ukienda Mkoa wa Songwe wapo kabila wa Wanyia akina Mwang'amba,Mwamposa nk.
Kwaiyo usikariri,siyo kila mwenye jina linaanza na Mwa basi ni Mnyakyusa.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
HatumtakiHuyo ni Mlutheri anayesaka urais kwa udi na uvimba.
Msiseme sijawapa codes
Mwashambwa ni Mnyia wa Songwe,Wilaya ya Mbozi,hao watu wana roho mbaya sana kuanzia Wanawake mpaka Wanaume!Hii mwa inawafanya wanakuwa wajinga sn
KILIMANJARONaomba na mwingine ajitokeze aseme Mkoani kwake hakuna miradi nimpatie orodha Ili aanze kutembelea mradi mmja Baada ya mwingine
jibu hoja kama ni mwelewa acha kutusi akitusi na wewe ukitusi tunaona ni machuya yote.We mpumbavu nini,una nini Cha kunipangia?
Pili Kichaa akikuita kichaa unadhani nani ni kichaa hapo?
Unadhani chuki zako Kwa Samia ndio zitasaidia asishinde Urais 2025?
Kama ni incompetent na anafanya yanayonugaisha Wananchi,huyo competent wako anatusaidia nini sisi Sasa? Kama unamtaka nenda nae chumbani.
View: https://www.instagram.com/reel/C1aASiBo4Ia/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Uaneni machawa. Pumbavu zenu. Mnaleta uchawa kwenye ujinga.Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure [emoji16][emoji16][emoji16]
Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?
Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.
Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?
Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
Pumbavu sana kubwa la wajinga weweUaneni machawa. Pumbavu zenu. Mnaleta uchawa kwenye ujinga.
Sent from my CPH2067 using JamiiForums mobile app
Kwa nini usimwambie huyo nyumbu mwenzio aache matusi ajibu hoja?jibu hoja kama ni mwelewa acha kutusi akitusi na wewe ukitusi tunaona ni machuya yote.