Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure [emoji16][emoji16][emoji16]

Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?

Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.

Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?

Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
Mkuu acha utoto,hoja kama zako saizi yake ni Facebook.Usipende kujifanya mjuaji,humu hakuna mtoto,humu wamo watu wazima walioshuhudia tawala za awamu zote na wapo ambao wameshuhudia tawala za karibuni za Tanzania.Ata sisi tunajua mengi kuliko unavyodhani wewe unajua;Samia is an incompetent president Tanzania has ever had!
Na huo ndiyo ukweli,ficha upumbavu wako!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Awali nilimchukia Ngosha uncle Magu nikajua anapenda sifa ila kwa sasa nimejua kumbe upuuzi wakusifia hata mtu anapojamba au kuharisha ni upuuzi unaopangwa na wanaojiita usalama wa Nchi.
Hawana namna zaidi ya kulinda familia zao coz asilimia big ya waliopo huko ni watoto wa viongozi waliokwishapita serikalini so wako kikazi kulinda mali za mababa zao na mafuvu yao kabatini kwa usalama wa familia.
 
Mkuu acha utoto,hoja kama zako saizi yake ni Facebook.Usipende kujifanya mjuaji,humu hakuna mtoto,humu wamo watu wazima walioshuhudia tawala za awamu zote na wapo ambao wameshuhudia tawala za karibuni za Tanzania.Ata sisi tunajua mengi kuliko unavyodhani wewe unajua;Samia is an incompetent president Tanzania has ever had!
Na huo ndiyo ukweli,ficha upumbavu wako!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
We mpumbavu nini,una nini Cha kunipangia?

Pili Kichaa akikuita kichaa unadhani nani ni kichaa hapo?

Unadhani chuki zako Kwa Samia ndio zitasaidia asishinde Urais 2025?

Kama ni incompetent na anafanya yanayonugaisha Wananchi,huyo competent wako anatusaidia nini sisi Sasa? Kama unamtaka nenda nae chumbani.

View: https://www.instagram.com/reel/C1aASiBo4Ia/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Jamaa anapiga stori kama anaongea na watoto wake humu jamvini,kila kitu anajua yeye!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unadhani ukichukia Kwa sababu najua itakusaisia nini? Mimi najua kweli siigizi.

Kama huna takwimu usiweke mjadala na Mimi.Kiufupi usiniletee stori za Vijiweni kwenu nitakutoa baru.
 
Hii mwa inawafanya wanakuwa wajinga sn
Acha matusi Mkuu hakuna Mnyakyusa mjinga,na siyo kila anayeanza jina na Mwa ni Mnyakyusa.
Mwa maana yake ni "mwana au mtoto wa"kunasibisha mtu na ukoo au jamii fulani.
Kwa mfano Iringa wapo wakina Mwakipande,Mwamoto,Mwagito na Njombe wapo akina Mwanyika nk.
Kwa Mbeya Wanyakyusa wapo akina Mwakang'ata,Mwandosya,Mwakyembe nk.Na ukienda Mkoa wa Songwe wapo kabila wa Wanyia akina Mwang'amba,Mwamposa nk.
Kwaiyo usikariri,siyo kila mwenye jina linaanza na Mwa basi ni Mnyakyusa.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
Huyo ni Mlutheri anayesaka urais kwa udi na uvimba.

Msiseme sijawapa codes
 
Acha matusi Mkuu hakuna Mnyakyusa mjinga,na siyo kila anayeanza jina na Mwa ni Mnyakyusa.
Mwa maana yake ni "mwana au mtoto wa"kunasibisha mtu na ukoo au jamii fulani.
Kwa mfano Iringa wapo wakina Mwakipande,Mwamoto,Mwagito na Njombe wapo akina Mwanyika nk.
Kwa Mbeya Wanyakyusa wapo akina Mwakang'ata,Mwandosya,Mwakyembe nk.Na ukienda Mkoa wa Songwe wapo kabila wa Wanyia akina Mwang'amba,Mwamposa nk.
Kwaiyo usikariri,siyo kila mwenye jina linaanza na Mwa basi ni Mnyakyusa.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Nakuelewa mkuu
 
Hii mwa inawafanya wanakuwa wajinga sn
Mwashambwa ni Mnyia wa Songwe,Wilaya ya Mbozi,hao watu wana roho mbaya sana kuanzia Wanawake mpaka Wanaume!
Kwaiyo anachofanya humu jamvini kuwa na roho mbaya ya kutoona matatizo ya Watanzania na kusifia utawala kandamizi ni tabia ya watu wa kabila lake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
We mpumbavu nini,una nini Cha kunipangia?

Pili Kichaa akikuita kichaa unadhani nani ni kichaa hapo?

Unadhani chuki zako Kwa Samia ndio zitasaidia asishinde Urais 2025?

Kama ni incompetent na anafanya yanayonugaisha Wananchi,huyo competent wako anatusaidia nini sisi Sasa? Kama unamtaka nenda nae chumbani.

View: https://www.instagram.com/reel/C1aASiBo4Ia/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

jibu hoja kama ni mwelewa acha kutusi akitusi na wewe ukitusi tunaona ni machuya yote.
 
Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure [emoji16][emoji16][emoji16]

Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?

Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.

Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?

Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
Uaneni machawa. Pumbavu zenu. Mnaleta uchawa kwenye ujinga.

Sent from my CPH2067 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom