Acha matusi Mkuu hakuna Mnyakyusa mjinga,na siyo kila anayeanza jina na Mwa ni Mnyakyusa.
Mwa maana yake ni "mwana au mtoto wa"kunasibisha mtu na ukoo au jamii fulani.
Kwa mfano Iringa wapo wakina Mwakipande,Mwamoto,Mwagito na Njombe wapo akina Mwanyika nk.
Kwa Mbeya Wanyakyusa wapo akina Mwakang'ata,Mwandosya,Mwakyembe nk.Na ukienda Mkoa wa Songwe wapo kabila wa Wanyia akina Mwang'amba,Mwamposa nk.
Kwaiyo usikariri,siyo kila mwenye jina linaanza na Mwa basi ni Mnyakyusa.
Sent from my V2111 using
JamiiForums mobile app