Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

I
That is a MATTER OF OPINION not a MATTER OF FACT.. Kwasababu MIKOA ya PWANI wapo wanawake wanajitunza na bado wameyoboa PUA na SHANGA wanawavalia WAUME zao.. Maneno yako yanakua ya UKWELI kulingana na IDADI ya wanawake uliowaona na hivyo VITU kisha kwakuona TABIA zinaendana ukona wote ni hivyo hivyo..
 

Attachments

  • FB_IMG_16524636332434312.jpg
    31.8 KB · Views: 12
Ofisi ya mabeberu huwa hawana time na hivyo vitu ila ofisi ya mmatumbi huwezi kukatisha reception namna hio
 
Kwahio unauza au sio 😂
 
Eeh kama umemuoa vaa tu! Ila kama alilipa mahari kwenu kuwa na adabu aisee usije kuita watu wakoloni kijinga jinga.

Vikuku, Tatoo za shingo na ugoko , Shanga za kiuno na vipini ni SI Unit ya malaya kwa Afrika mashariki. Kama mtu unakosa nguo nzuri na kujistiri kwa utuli mzuri basi usiite huo ushenzi wa hapo juu urembo.
 

Wengine wachawi
 

Kwa hiyo wamasai /wanawake nao tuwaite malaya?
 

“Everyone's a whore, Grace. We just sell different parts of ourselves.”
Tommy Shelby (Peaky Blinders)
 
Ofisi ya mabeberu huwa hawana time na hivyo vitu ila ofisi ya mmatumbi huwezi kukatisha reception namna hio
Ni kweli, ila tunakatisha tu huko ofisi za wamatumbi na bleach zetu tena unakaribishwa vizuri sana kisa tuko na mabeberu. Ila wabongo wanafiki kwa double standards aisee, katisha hivyo na bleach na kimini chako uwe umetokea mtaani unahitaji huduma walah utarudishwa espeally ofisi za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…