babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Umekuja lini mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is a MATTER OF OPINION not a MATTER OF FACT.. Kwasababu MIKOA ya PWANI wapo wanawake wanajitunza na bado wameyoboa PUA na SHANGA wanawavalia WAUME zao.. Maneno yako yanakua ya UKWELI kulingana na IDADI ya wanawake uliowaona na hivyo VITU kisha kwakuona TABIA zinaendana ukona wote ni hivyo hivyo..Wakuu
Malaya utawafahamu vipi hapa jijini Dar es salaam?
Wacha nikufungulie code, mwanamke yeyote aliyotoboa pua huyo ni malaya wa kutupwa
Mwanamke anayevaa vikukuu i mean shanga au cheni miguuni huyo ndio kabisa mpaka nyuma anafanywa
Mwanamke mvaa shanga kiunoni kama mganga wa kienyeji ni malaya haswaa kwani anaamini hayo madude hupagawisha kitandani kumbe sio
Kwa kuongezea, wale wapaka nywele rangi (breach) nao pia malaya.
Ukitokea uko na mwanamke mwenye sifa mojawapo hapo juu tumia KONDOM
Sawa.Mkeo akikatiza anga zangu ni malaya kama malaya wengine nafumua line zote 😂😂😂
Ofisi ya mabeberu huwa hawana time na hivyo vitu ila ofisi ya mmatumbi huwezi kukatisha reception namna hioNi kweli kabisa, yaani wanaume wanajadili mambo ya ajabu kabisa. Mimi nina bleach kabisa kuchwa kizima na siogopi eti watu wananichukuliaje. As long as mwajiri wangu na mpenzi wangu anaona sawa wala sijali. Kazini kwetu hata uvae vikuku 10 no one cares wanachotaka ni delivarables
Kwahio unauza au sio 😂Tafuta Hela kijana acha makasiriko,
Hao uliowataja ni Wajanja wa Mjini najua kuwapata imekua shida aidha wajishtukia kwa hali yako ama wamekukataa,
#Kila Kiungo cha Mwanamke kinahitaji Urembo, kama ulisikia Mwanamke ni Pambo la Nyumba basi ndio hayooo
2 pac alikuwa bange yule.Vp kuhusu Tupac kutoboa pua
Eeh kama umemuoa vaa tu! Ila kama alilipa mahari kwenu kuwa na adabu aisee usije kuita watu wakoloni kijinga jinga.Mi naona ni mtazamo wako tu. Siku hizi hizo shanga zinavaliwa kama urembo tu. Juzi kati hapa nimetoka kubishana na mr. nae anaona mwanamke kuvaa vikuku ni malaya. Nikamwambia ni vile tu sijawai kivipenda na mi ningevaa. Nilikatwa jicho lile la"ole wako".
Wakuu
Malaya utawafahamu vipi hapa jijini Dar es salaam?
Wacha nikufungulie code, mwanamke yeyote aliyotoboa pua huyo ni malaya wa kutupwa
Mwanamke anayevaa vikukuu i mean shanga au cheni miguuni huyo ndio kabisa mpaka nyuma anafanywa
Mwanamke mvaa shanga kiunoni kama mganga wa kienyeji ni malaya haswaa kwani anaamini hayo madude hupagawisha kitandani kumbe sio
Kwa kuongezea, wale wapaka nywele rangi (breach) nao pia malaya.
Ukitokea uko na mwanamke mwenye sifa mojawapo hapo juu tumia KONDOM
Wakuu
Malaya utawafahamu vipi hapa jijini Dar es salaam?
Wacha nikufungulie code, mwanamke yeyote aliyotoboa pua huyo ni malaya wa kutupwa
Mwanamke anayevaa vikukuu i mean shanga au cheni miguuni huyo ndio kabisa mpaka nyuma anafanywa
Mwanamke mvaa shanga kiunoni kama mganga wa kienyeji ni malaya haswaa kwani anaamini hayo madude hupagawisha kitandani kumbe sio
Kwa kuongezea, wale wapaka nywele rangi (breach) nao pia malaya.
Ukitokea uko na mwanamke mwenye sifa mojawapo hapo juu tumia KONDOM
Nitajie tofauti tano zinazomtofautisha kahaba na malaya
Ninavyoelewa kiufupi tu bila kujaza umati kahaba hana tofauti yoyote na Malaya sababu wote wanauza uchi
Ngozi ya mabaka mabaka inafaa jeshini, huku uraiani mwanamke lazima ung'ae[emoji4]Wenye ngoz isiyong'aa tusivae?
Ni kweli, ila tunakatisha tu huko ofisi za wamatumbi na bleach zetu tena unakaribishwa vizuri sana kisa tuko na mabeberu. Ila wabongo wanafiki kwa double standards aisee, katisha hivyo na bleach na kimini chako uwe umetokea mtaani unahitaji huduma walah utarudishwa espeally ofisi za serikaliOfisi ya mabeberu huwa hawana time na hivyo vitu ila ofisi ya mmatumbi huwezi kukatisha reception namna hio
Hivi huwa yana raha gani hayo madude?Acha hizo, Mimi mke wangu nilimnunulia shanga na cheni anavaa kiunoni,
Nainjoi naye Sana,
Peleka ujinga wako huko.