Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope direction nizitafute hizo mkuu mana ni ngeni kwangukunazingine hua zinafunika K,
zimeichora ile v ya k ad kwenye clitoris,
apo anapata double stimulation
izi mambo ziko unyamwezini
Nope direction nizitafute hizo mkuu mana ni ngeni kwangu
brother mshana jr.katika ubora wake,usiombe ukapata toto la kirangi au linyaturu aafu awe anajua kuzitumia hapo lazima utelekeze familia[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]View attachment 410269
Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.
Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.
Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.
Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85])
Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.
Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.
Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.
Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.
Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
LolDuu pole sana yaani ni sawa na mtu ambaye hajawahi kula pweza
unaonekana unauzoefu na dushe zinazovalishwa shangaSiku hizi kuna mpk shanga za wanaume. Zinavaliwa kwenye dushe.
Ukipump zinagonga gonga papuchi.
Kuvaliwa kwake mpk mwanamme awe kasimamisha. Ziko ndogo ndogo lkn km ring.
Habari ndo hio.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1] [emoji1]Duu pole sana yaani ni sawa na mtu ambaye hajawahi kula pweza
ataniwia radhi mkuu ni katika kuchangamsha genge tu[emoji102] yakhe mke wa mtu huyo [emoji35] [emoji15]
Si sahihi wanakosea sanaHalafu mie niliambiwaga shanga azione mume wangu tuu, sasa mie nikienda kazini navua ila unaweza kuona mdada kwa bahati mbaya kainama zinaonekana sasa sijui ni sahihi kuvaa muda wote au ni mimi sikuelewa unyagoni na zile akili za kitoto??