Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Hizi shanga daaah
Nliwahi kuchepuka tuu ili nijue raha yake.

Mwanzoni nlijua kwamba zinatupa raha wanaume, na nliziwazia saana ...(over rating)..
Kumbe zinatumika kumpa raha mwanamke...

Andiko hili limenikumbusha mbali....
Nashukuru nimejua
 
Mimi yaani wala sielewi faida za shanga kwenye mapenzi, kwani nikimpenda mwanamke basi inanipa ashki tu kubwa ,

Na nikiona mwanamke anashanga basi hata kama nimzuri basi nitamuona ni malaya tu ana mwanaume zaidi ya mmoja,
 
Lol...maajabu ya shanga hayo..sijawah pata mwanadada mwenyekuvaa hzo shanga
 
View attachment 410269

Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.

Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.

Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.

Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85])

Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.

Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.

Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.

Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.

Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
brother mshana jr.katika ubora wake,usiombe ukapata toto la kirangi au linyaturu aafu awe anajua kuzitumia hapo lazima utelekeze familia[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Siku hizi kuna mpk shanga za wanaume. Zinavaliwa kwenye dushe.
Ukipump zinagonga gonga papuchi.
Kuvaliwa kwake mpk mwanamme awe kasimamisha. Ziko ndogo ndogo lkn km ring.
Habari ndo hio.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
unaonekana unauzoefu na dushe zinazovalishwa shanga
 
Halafu mie niliambiwaga shanga azione mume wangu tuu, sasa mie nikienda kazini navua ila unaweza kuona mdada kwa bahati mbaya kainama zinaonekana sasa sijui ni sahihi kuvaa muda wote au ni mimi sikuelewa unyagoni na zile akili za kitoto??
Si sahihi wanakosea sana
 
ataniwia radhi mkuu ni katika kuchangamsha genge tu
[emoji3] [emoji3] haina shida niko full version hapa jukwaani kwasababu yake[emoji8] [emoji8] [emoji8] huyo ndio shemeji yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom