Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Nimeokota hii mahali
IMG-20170808-WA0047.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nazipenda ila sijui matumizi yake... kaka jr ningeomba kama inawezekana japo ka clip tuu cha jinsi ya kuzitumia... I real wish jaman mana kiuno kipo[emoji85] [emoji28] [emoji28] ila sasa matumiz sijuiiiiiii
Mi najua baadhi hutumika kama kuwasilisha ujumbe
Nyejundu- INA sema uko period
Black-unaomba kunyolewa vu
White-uko safi unamuhitaji akupe mambo
Kijani-unamuhitaji lkn uko siku za hatari zakuweza kupata uja uzito
Hizo ni rangi chache na maane zake lkn zipo maana nyingi na mitungo tofauti ya shanga,pia shanga nipambo kwa mwanamke, kiuno cha mwanamke hakitakiwi kuwa na ukiwa kama cha mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na shanga lundoooo, ila sipendi kuvaaa vikorokocho korokocho mwilini.
Mume wangu hajaweka kichwani kabisa, mambo haya, asante mungu.
Labda akifika miaka 60.

Nawashangaa wanawake wanao vaa shanga, kabla ya kuolewa.
Sheria inasema kama hauja olewa hautakiwi kuvaa shanga...............hahahaha, hiyo ndio mila ya kwetu.
Kama wazungu, huwezi kuvaa pete ya ndoa kama hauja olewa.

Wanawake wengi ambao hawajachezwa hawajui maana yake kabisa.


Vile vile huwezi kuvaa shanga kwa kila mwanaume............unaweza kuvaa shanga kwa mwanaume anae jua maana yake, hasie jua maana yake atakuwa haelewi.

Mfano mwanamke akivaa shanga nyekundu kiunoni ni sign, anavuja damu, ana menstruation.

Hauitaji kumwambia mumeo kwa maneno, (oh bwana wewe mimi leo nasiku zangu, sitaki).

Na akivaa shanga nyeupe shingoni, maana yake menstruation isha kwisha. Unaweza kuosha kirungu, hahahaha, ndio maana yake.

Kama mwanaume hajui maana yake, yote inakuwa aina maana yeyote ile. Utapoteza time tu. Bora husivae.

Samahani kwa nitakao wakera,
natambua hairuhusiwi kusema mambo kama haya, lakini sijasema mengi, mawili tu
Sorry naomba kujua kwa wale wanaovaa shanga zenye rangi nyingi kama bendera ya ukawa huwa zinamaana gani

2logM@km
 
Back
Top Bottom