kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee[emoji12] [emoji12] [emoji12]kiuno changu kina umbo kama la yule mzee wa malofa na wapumbavu.
Hapo chachaduh hayo mengine too much kaka, ye akiomba uweke kipini kwenye kichwa cha babujii utakubali?
Mi najua baadhi hutumika kama kuwasilisha ujumbeBinafsi nazipenda ila sijui matumizi yake... kaka jr ningeomba kama inawezekana japo ka clip tuu cha jinsi ya kuzitumia... I real wish jaman mana kiuno kipo[emoji85] [emoji28] [emoji28] ila sasa matumiz sijuiiiiiii
Zinasaidia kukata kiuno,na zinamtekenya bwanaHivi shanga zinaumuhimu gani pale game linapokuwa limekole?
Njoo chemba nikwambie kitu kidhuliAisee! Dah naombeni somooo maana sielewi kitu ni mkaavvvuuuu hatareee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] inategemea ni za maji gani? Manake kuna za Majitaka [emoji102] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sorry naomba kujua kwa wale wanaovaa shanga zenye rangi nyingi kama bendera ya ukawa huwa zinamaana ganiNa shanga lundoooo, ila sipendi kuvaaa vikorokocho korokocho mwilini.
Mume wangu hajaweka kichwani kabisa, mambo haya, asante mungu.
Labda akifika miaka 60.
Nawashangaa wanawake wanao vaa shanga, kabla ya kuolewa.
Sheria inasema kama hauja olewa hautakiwi kuvaa shanga...............hahahaha, hiyo ndio mila ya kwetu.
Kama wazungu, huwezi kuvaa pete ya ndoa kama hauja olewa.
Wanawake wengi ambao hawajachezwa hawajui maana yake kabisa.
Vile vile huwezi kuvaa shanga kwa kila mwanaume............unaweza kuvaa shanga kwa mwanaume anae jua maana yake, hasie jua maana yake atakuwa haelewi.
Mfano mwanamke akivaa shanga nyekundu kiunoni ni sign, anavuja damu, ana menstruation.
Hauitaji kumwambia mumeo kwa maneno, (oh bwana wewe mimi leo nasiku zangu, sitaki).
Na akivaa shanga nyeupe shingoni, maana yake menstruation isha kwisha. Unaweza kuosha kirungu, hahahaha, ndio maana yake.
Kama mwanaume hajui maana yake, yote inakuwa aina maana yeyote ile. Utapoteza time tu. Bora husivae.
Samahani kwa nitakao wakera,
natambua hairuhusiwi kusema mambo kama haya, lakini sijasema mengi, mawili tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nimeogooa kuja huko maana nisije kutana na kitu cha maji taka[emoji23] [emoji23] [emoji23] inategemea ni za maji gani? Manake kuna za Majitaka [emoji102] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] hapana huku ni chilimanjaro natural [emoji98] water[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nimeogooa kuja huko maana nisije kutana na kitu cha maji taka
Sent using Jamii Forums mobile app
Akuuuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] hapana huku ni chilimanjaro natural [emoji98] water
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Usiombe shanga ikashika vooooz, utatamani kuita watu