Ni wajinga pekee wanao amini juu ya black hole. Yaani wale mashabiki wa Sayansi.Unaelewa kwamba stephen hawking akipingama na earth rotation habari ya black hole inakosa mashiko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajinga pekee wanao amini juu ya black hole. Yaani wale mashabiki wa Sayansi.Unaelewa kwamba stephen hawking akipingama na earth rotation habari ya black hole inakosa mashiko?
Maswali gani hayo ?Mimi nimegundua hilo kua haujasoma kitu kutokana na maswali nayokuuliza umeonesha kutoyajua kabisa. Kivipi usome ukaelewa halafu ushindwe kujibu maswali?
Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.
Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
nimekuuliza swaliSasa nilicho copy ni cha uongo kwa mtazamo wako sasa thibitisha hilo. Hili unakwepa sana.
wametafitiSwali langu ni hujajibu darasani waetoa wapi hizo habari za Leon?
hawking ana sifika kwa ugunduzi gani?Onyesha ya kuwa hizo site ni untrusted na kwanini na je kilichoandikwa sahihi au siyo sahihi ?
garbageAjabuukweli ni kwamba hizo site ni sahihi zaidi na za kweli kuliko NASA na mfano wake, hi huwezi kukosoa mpaka unakufa.
garbageHukumuuliza mwalimu wako ametoa wapi habari za Foucault Pendulum?
Embu nikumbushe hivi Faucault Pendulum ulisoma katika topic ya Mechanics siyo au kidato cha ngapi ? Nacheka sana.
Sasa nitaainisha vipi wakati umecopy jambo la ujumla kwalo lipo katika source nyingi, ni sawa na mimi nikwambie unipe source ya first law of Newton katika motion, kisha nikwambie umeitoa wapi, bila shaka utakataa sababu source za hiyo law ziko nyingi. Usiwe unauliza maswali ya kijinga.
kwani swali gani umeulizwa ukasema hujui?Maswali gani hayo ?
swali gani ambalo nimekuuliza ukajibu sijui?Hakuna swali hata moja, zaidi ya wewe kukimbia na Pendulum, na kuachana na mada ya msingi.
Hili huna uwezo nalo, na humu umethibitisha hilo.
Kazi yangu nimemaliza.nimekuuliza swali
hwaking ni mwana fizikia ambaye amepata umaarufu kubwa kwa ku discover black holes
sasa kama hawking anapinga solar system niambie anawezaje kuikubali black hole?
wametafiti
hawking ana sifika kwa ugunduzi gani?
garbage
garbage
Jibu swali nililo kuuliza.kwani swali gani umeulizwa ukasema hujui?
Fatilia huko nyuma utaona.swali gani ambalo nimekuuliza ukajibu sijui?
hujajibu swali hiliKazi yangu nimemaliza.
Ukiwa na hoja mpya nistue.
unakumbuka ni swali gani ambalo nilikuuliza ukasema hujui?Fatilia huko nyuma utaona.
Jibu maswali yangu kisha unithibitishie uwepo wa Black Hole, kisha kutokea hapo uulize swali lako kwa usahihi.hujajibu swali hili
nimekuuliza swali
hawking ni mwana fizikia ambaye amepata umaarufu mkubwa kwa ku discover black holes
sasa kama hawking anapinga solar system niambie anawezaje kuikubali black hole?
Solar System jambo kando na Black Hole jambo kando, havina uhusiano vitu viwili japokuwa vyote ni dhana na moka wapo ni dhana ya watu wenye kuabudu juasasa kama hawking anapinga solar system niambie anawezaje kuikubali black hole?
Kumbukumbu ninayo, ila fatilia utaliona, huwa nakwambia kila siku ukiwa unajadiliana na mimi hakikisha una tunza kumbukumbu na akili yako iwe nyepesi.unakumbuka ni swali gani ambalo nilikuuliza ukasema hujui?
habari za falsafa zimeletwa na nani hapa?Usitoke nje ya mada kijana.
kwa hiyo unakubali au unakataa kwamba ulisema hujui?Kumbukumbu ninayo, ila fatilia utaliona, huwa nakwambia kila siku ukiwa unajadiliana na mimi hakikisha una tunza kumbukumbu na akili yako iwe nyepesi.
Hii kazi imeiasha nachofanya hapa ni kile nachotakiwa kufanya kwa muda huu, yaani baada ya kumaiza kazi.
Kijana hii kazi nimeimaliza, ni kama suala la Foucault Pendulum lilivyo ingia na ukalifanya kuwa mada.habari za falsafa zimeletwa na nani hapa?
Falsafa ni nini?
Sayansi ni nini?
Solar system ni nini?
Na ili kitu kionekana kinahusiana na sayansi ni factor gani zinazingaliwa?
Rejea huko nyuma kisha urudi kujenga hoja.kwa hiyo unakubali au unakataa kwamba ulisema hujui?
hiki nacho kuuliza hapa kinategemeana na jinsi ulivyoelewa zile nukuu ulizo copy.Jibu maswali yangu kisha unithibitishie uwepo wa Black Hole, kisha kutokea hapo uulize swali lako kwa usahihi.
dunia inazunguka jua na jua ni moja ya nyota billions of stars kwenye milky way galaxy.Solar System jambo kando na Black Hole jambo kando, havina uhusiano vitu viwili japokuwa vyote ni dhana na moka wapo ni dhana ya watu wenye kuabudu jua
nipe post number uliyojibu haya maswaliKijana hii kazi nimeimaliza, ni kama suala la Foucault Pendulum lilivyo ingia na ukalifanya kuwa mada.
Silei ujinga.
nimerejeaRejea huko nyuma kisha urudi kujenga hoja.
Nasubiri hoja mpya.