Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,407
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.

Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.

C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.

tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.

Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.

ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
 
certainly
 
Tanzania ipo chini ya mfalme Juha!
202101271929.jpg
 
1A5DBDC4-36EE-45DE-B6DC-4FDFCD775ED0.jpeg
WaTanzania sio panya wa majaribio, ieleweke hivyo!!!!
 
Mimi na familia yangu tunataka kinga/chanjo. Tusipangiane kwenye maisha, ambae hataki iwe juu yake, tunaotaka iwe juu yetu, kila mtu ana maisha yake.

Ni utaahira wa hali ya juu kusema chanjo ya corona haifai, mara sijui wazungu wanaipenda Afrika, sijui Tanzania ni tajiri(utajiri gani, tajiri ccm mmeshindwa kuwafanya watanzania hata 10% kua matajiri kwa miaka 60 ya uhuru?) halafu unatumia madawa yao ya kansa, malaria, kifua kikuu, hiv, kichocho, kipindupindu, ukoma, upovu, sijui magonjwa gani.

Tusipeane hadithi za kitaahira hapa, kama hutaki sawa, tunaotaka msitutishe na hadithi zenu za kufikirika.

Wazungu wakiitaka Afrika wanashindwa kuja kuichukua hadi wasubiri corona?
 
Aah wanaoihitaji wameshaenda kudungwa......ni haki yako...........demokrasia
 
Mimi na familia yangu tunataka kinga/chanjo. Tusipangiane kwenye maisha, ambae hataki iwe juu yake, tunaotaka iwe juu yetu, kila mtu ana maisha yake.

Ni utaahira wa hali ya juu kusema chanjo ya corona haifai, mara sijui wazungu wanaipenda Afrika, sijui Tanzania ni tajiri(utajiri gani, tajiri ccm mmeshindwa kuwafanya watanzania hata 10% kua matajiri kwa miaka 60 ya uhuru?) halafu unatumia madawa yao ya kansa, malaria, kifua kikuu, hiv, kichocho, kipindupindu, ukoma, upovu, sijui magonjwa gani.

Tusipeane hadithi za kitaahira hapa, kama hutaki sawa, tunaotaka msitutishe na hadithi zenu za kufikirika.

Wazungu wakiitaka Afrika wanashindwa kuja kuichukua hadi wasubiri corona?
kila la kheri mkuu ila punguza povu
 
Msiogpe corona. Jikingeni tu na muwe na tahadhari. Jifukize mvuke kila siku mara tatu ukiweza. Halafu matangawizi na hayo mengine ya kuongeza kinga mwili yasikosekane. Basi
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Hata hapa Tanzania inakuja na tutadungwa tu. Hiyo ni lazima.

Mtu akileta ubishi tunaenda nje tunachanjwa tunaleta corona ya ajabu ajabu hapa bongo, hakuna kukwepa.

Uwezo huo upo wa kununua hiyo chanjo! 😁😁 very expensive. S.A wameuziwa mara mbili ya bei wanaoziwa europe.

Mungu akinipa uzima nitakwea pipa nje ya nchi kupata chanjo.
 
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.

Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.

C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.

tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.

Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.

ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
Kwani hii Kinga ina madhara gani?
 
Kuna mzee wa sifa aka mshamba sidhani kama atakuelewa hapo
 
Bila shaka huu mwandiko ni wa Harakaharaka anampigia debe Daktari Yohana Chimpumu
 
Back
Top Bottom