Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo gani? Mlitaka mpewe bure, mmetengeneza nyie?Mchezo anaoucheza magu mtauelewa mbeleni. Cheki SA wamekimbilia chanjo wamejikuta wanauziwa bei kubwa zaidi. Tulieni chanjo itakuja tu
acha uoga, unaogopa kwasababu unapenda kuwa depandant,Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.
Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.
C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.
tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.
Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.
ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.
Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.
Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.
Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.
C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.
tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.
Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.
ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.
Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.
Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
Mchezo anaoucheza magu mtauelewa mbeleni. Cheki SA wamekimbilia chanjo wamejikuta wanauziwa bei kubwa zaidi. Tulieni chanjo itakuja tu
Yaani chanjo lazima niipate hata kwa kuifata nchi jirani with my family, asietaka asitupangie wala asituamulie, akawapangie familia yake na ukoo wakeMimi na familia yangu tunataka kinga/chanjo. Tusipangiane kwenye maisha, ambae hataki iwe juu yake, tunaotaka iwe juu yetu, kila mtu ana maisha yake.
Ni utaahira wa hali ya juu kusema chanjo ya corona haifai, mara sijui wazungu wanaipenda Afrika, sijui Tanzania ni tajiri(utajiri gani, tajiri ccm mmeshindwa kuwafanya watanzania hata 10% kua matajiri kwa miaka 60 ya uhuru?) halafu unatumia madawa yao ya kansa, malaria, kifua kikuu, hiv, kichocho, kipindupindu, ukoma, upovu, sijui magonjwa gani.
Tusipeane hadithi za kitaahira hapa, kama hutaki sawa, tunaotaka msitutishe na hadithi zenu za kufikirika.
Wazungu wakiitaka Afrika wanashindwa kuja kuichukua hadi wasubiri corona?
Kutawaliwa na Raisi ambye ni conservative and rigid ni kazi sana, eti wazungu wanataka kutumaliza ili wapate nini? Ni mbinu za CCM kupumbaza wa Tanzania nakuhamisha makosa yao kwa wazungu......Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.
Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.
C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.
tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.
Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.
ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.
Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.
Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
Kutawaliwa na Raisi ambye ni conservative and rigid ni kazi sana, eti wazungu wanataka kutumaliza ili wapate nini? Ni mbinu za CCM kupumbaza wa Tanzania nakuhamisha makosa yao kwa wazungu......
Hama nchi, mbwa wewe, huijui mamlaka aliyonayo Rais juu yako? Kaanzishe nchi yako ujipangie, mpuuzi mkubwa weweMimi na familia yangu tunataka kinga/chanjo. Tusipangiane kwenye maisha, ambae hataki iwe juu yake, tunaotaka iwe juu yetu, kila mtu ana maisha yake.
Ni utaahira wa hali ya juu kusema chanjo ya corona haifai, mara sijui wazungu wanaipenda Afrika, sijui Tanzania ni tajiri(utajiri gani, tajiri ccm mmeshindwa kuwafanya watanzania hata 10% kua matajiri kwa miaka 60 ya uhuru?) halafu unatumia madawa yao ya kansa, malaria, kifua kikuu, hiv, kichocho, kipindupindu, ukoma, upovu, sijui magonjwa gani.
Tusipeane hadithi za kitaahira hapa, kama hutaki sawa, tunaotaka msitutishe na hadithi zenu za kufikirika.
Wazungu wakiitaka Afrika wanashindwa kuja kuichukua hadi wasubiri corona?
Mwenyewe umejiona unazo akili kweli kweli duuh kumbe mbumbumbu wa viwango vya lami .Kwanini baada tu ya Chanjo kugundulika huko Ulaya ndiyo Corona Mpya imegundulika.Mimi na familia yangu tunataka kinga/chanjo. Tusipangiane kwenye maisha, ambae hataki iwe juu yake, tunaotaka iwe juu yetu, kila mtu ana maisha yake.
Ni utaahira wa hali ya juu kusema chanjo ya corona haifai, mara sijui wazungu wanaipenda Afrika, sijui Tanzania ni tajiri(utajiri gani, tajiri ccm mmeshindwa kuwafanya watanzania hata 10% kua matajiri kwa miaka 60 ya uhuru?) halafu unatumia madawa yao ya kansa, malaria, kifua kikuu, hiv, kichocho, kipindupindu, ukoma, upovu, sijui magonjwa gani.
Tusipeane hadithi za kitaahira hapa, kama hutaki sawa, tunaotaka msitutishe na hadithi zenu za kufikirika.
Wazungu wakiitaka Afrika wanashindwa kuja kuichukua hadi wasubiri corona?
Kwani hii Kinga ina madhara gani?
Magu hajui lolote anakurupuka tu kuonyesha alivyo kilaza. Israël pia wamenunua chanjo kwa bei kubwa ukilinganisha na ya bei waliyouziwa USA. Demand iko kubwa sana na kuna ushindani ambaye yuko tayari kulipa bei kubwa anapewa kipaumbele. Israel said to be paying average of $47 per person for Pfizer, Moderna vaccines
Watu hawaelewi chanjo wanayopewa EUROPE ni tofauti na tunayopewa sisi,jamani mi ntachanjwa mwishoni ngoja niangalie upepo kwanza,unajua chanjo ikifail either kufa au kuupata ugonjwa wenyewe
Idiot, hawawezi kuuwa wote maana wanawahitaji, ila hawahitaji muwe wengi, hivyo wanafanya population control, sio extermination, we unaamini hakuna chanjo ya malaria ila ya Covid ipo? Hilo suala linaingia akilini mwako?Upuuzi Mtupu! Wazungu kama wangetaka kutuua mbona wangeshatuua zamani na chanjo za polio, kifua kikuu, surua au madawa yao ya magonjwa mbali mbali? Acheni ujinga wenu wa kupotosha kuhusu kinga ya Covid.
Mchezo gani? Mlitaka mpewe bure, mmetengeneza nyie?
Mna akili kweli nyie?
Wapate nini? Hivi kuna ubongo humo ndani ya fuvu lako kweli?Kutawaliwa na Raisi ambye ni conservative and rigid ni kazi sana, eti wazungu wanataka kutumaliza ili wapate nini? Ni mbinu za CCM kupumbaza wa Tanzania nakuhamisha makosa yao kwa wazungu......
Hapa sioni tunacholalamikia wakati wenye hela wanapata kwa gharama kubwa tusubirie misaada kama kawaida yetu. Chanjo tutaipata tu msiwe na hofu