Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
kwann wanalazimisha nchi maskini kuliko zao hebu waanze kwanza huko walipo kisha watuletee chanjo za ukimwi na malaria. Napenda anachofanya magufuli kuliko kuishi kwa hofu hofu.
Sina hofu yoyote ile zaidi ya huyo kilaza magu na kauli zake za upotoshaji. Mataifa tajiri duniani kwa kushirikiana na WHO na baadhi ya mabilionea wanajua fika ilI kuishinda COVID ni lazima chanjo ifike nchi zote hivyo hadi jana walikuwa wameshakusanya $2 billions ili kufanikisha hilo.