Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

Corona haijawahi kuisha na kila mmoja anafahamu na kuendelea na maisha,mpaka lini tujifungie kwa kuogopa ugonjwa?

Tatizo mnalazimisha visivyowezekana na bado mnaombea watu wafe kwa wingi mpate kile mnachokiita ushindi

Kwenye familia yenu wamekufa wangapi mkuu?

Wamekufa alakini siwezi kutoa idad mkuu. Corona ipo na imekuja kwa kac zaidi. Tujilinde na tuepukane na mikusanyiko.
 
Watanzania mnalalamika kuwa SA wamenunua bei kubwa wakati wao washatangaza kutoa chanjo kwa wote endeleeni kupiga kelele za bei kubwa kwenye afya China wanawaangalia tuu wataleta ya bei nafuu...niliposikia bei kubwa eti Tsh 6000 kazi mnayo

Bei rahisi mnoo. Bac tu
 
Rais kanichekesha sna kasema Kuna watu walienda nnje kuchanjwa na kurud na ugonjwa wa ajabu ajabu hapa ...ahahhaah
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umeona eh! Sasa kama hawa wangekuwa wana akili sana si wangezuka tayari na chanjo yao? Wa kawaida sana hawa wala si vichwa kiasi hicho.
Mkuu wateule wa mungu nao wanaogopa covid.Nasikiaga humu jf waislael wana akili sana kumbe nao wananunua kinga kama sie kina yakhe tulielaniwa!!
 
Kwenye familia yako imepitia wangapi? Maana naona mnafurahia vifo utadhan mtaishi milele.
Watu wanafariki kila kukicha ni jambo la kawaida kama unaona maajabu nenda mahospitalin ushuhudie idadi za wagonjwa wasiohusika na covid walivyo wengi. Kabla ya covid bado watu walikufa vya kutosha.
Wewe ndio uniambie hayo mafungu yalilazimishwa?maana hata chanjo za majaribio mlikua mnabweka balaa ooh tutakosa misaada ooh tutatengwa mara tutapigwa keyboard warriors bana.halafu kumbuka ARV ya juzi juzi hapa na haikutumika nguvu kuilazimisha wala vuvuzela wa mtandaon kulia lia

Unakimbilia polio,kifua kikuu,surua. Haya magonjwa yaliwatandika sana wazungu fasta wakaleta chanjo na hawakulazimisha isambae bali wahitaji waliomba wenyewe.

Acheni kulazimisha maji yapande mlima subirieni yashuke yenyewe.
What a load of bollocks

Dokta Kihiyo kwenye shift yake wamekufa watu kumi ...... aaahh amin.... ni kazi ya mungu, bwana ametwaa au vipi

Kwahiyo hata hilo Jinga Ikulu, wakifa watu wangapi, nyie mtamsikilza anawaambia ombeni mungu
Basi afunge Hospital zote mueendelee kukesha mkiiomba
 
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.

Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.

C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.

tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.

Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.

ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
linapokuja suala la kujaribu/kupata chanjo ni uamuzi binafsi na siyo lazima
wapo wanaotaka na pia wasiotaka maamuzi ni yako tu
ni ngumu kupata washirika kwa wazo kama hilo
 
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.

Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya wenye nguvu. kama huna nguvu inabidi kutumia busara.

C ya 19 iliibuka ikapoa, mara kinga ilivyopatikana ikaibuka tena na hapa ikisemekana ni mbaya kuliko ya kwanza.

tunaweza kukataa kinga kimya kimya na tukawa salama lakini kupiga kelele ni sawa na kuwachalenji waliotengeneza kwamba wanaendesha kitu haramu.

Shida inaweza kuwa, wenye kuchukua kinga na walioikataa wakikaa salama wote basi itaonekana kweli biashara yenyewe ilikuwa haramu.

ili biashara isiwe haramu inawezekana baada ya wa kupata kinga kumaliza kupata kinga inaweza kuibuka toleo la tatu ambao linaweza kupukutisha ambao hawakuchukua kinga na kuonekana kwa kila mtu kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Hatari ni kubwa zaidi kwa wale ambao wanafanya promosheni ya kusema sisi hatuchukui kinga ili dunia nzima ijue na hao ndiyo wanaoweza kupukutika kufahamisha dunia kuwa kinga ilikuwa muhimu.

Yapo mengi yanasemwa kuhusu kinga na busara kutoichukua tunaweza kutumia njia zetu na tukawa salama, cha msingi tusifanye taifa letu kuwa uwanja wa majaribio
Confidential
 
Back
Top Bottom