Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

acha uoga, unaogopa kwasababu unapenda kuwa depandant,
 
Upuuzi Mtupu! Wazungu kama wangetaka kutuua mbona wangeshatuua zamani na chanjo za polio, kifua kikuu, surua au madawa yao ya magonjwa mbali mbali? Acheni ujinga wenu wa kupotosha kuhusu kinga ya Covid.
 
Yaani chanjo lazima niipate hata kwa kuifata nchi jirani with my family, asietaka asitupangie wala asituamulie, akawapangie familia yake na ukoo wake
 
Kutawaliwa na Raisi ambye ni conservative and rigid ni kazi sana, eti wazungu wanataka kutumaliza ili wapate nini? Ni mbinu za CCM kupumbaza wa Tanzania nakuhamisha makosa yao kwa wazungu......
 
Anavyoropoka ropoka ujinga anazidi kutisha shaka kuhusu elimu yake na kuonekana ni kituko si tu na Watanzania bali duniani kote.
Kutawaliwa na Raisi ambye ni conservative and rigid ni kazi sana, eti wazungu wanataka kutumaliza ili wapate nini? Ni mbinu za CCM kupumbaza wa Tanzania nakuhamisha makosa yao kwa wazungu......
 
Hama nchi, mbwa wewe, huijui mamlaka aliyonayo Rais juu yako? Kaanzishe nchi yako ujipangie, mpuuzi mkubwa wewe
 
Mwenyewe umejiona unazo akili kweli kweli duuh kumbe mbumbumbu wa viwango vya lami .Kwanini baada tu ya Chanjo kugundulika huko Ulaya ndiyo Corona Mpya imegundulika.
 
Watu hawaelewi chanjo wanayopewa EUROPE ni tofauti na tunayopewa sisi,jamani mi ntachanjwa mwishoni ngoja niangalie upepo kwanza,unajua chanjo ikifail either kufa au kuupata ugonjwa wenyewe
 
Umeona mbali. Chanjo ile ina matabaka,mzungu anayo yake,mwafrika anayo yake pia japo watengenezaji ni hao hao mabeberu
Watu hawaelewi chanjo wanayopewa EUROPE ni tofauti na tunayopewa sisi,jamani mi ntachanjwa mwishoni ngoja niangalie upepo kwanza,unajua chanjo ikifail either kufa au kuupata ugonjwa wenyewe
 
Upuuzi Mtupu! Wazungu kama wangetaka kutuua mbona wangeshatuua zamani na chanjo za polio, kifua kikuu, surua au madawa yao ya magonjwa mbali mbali? Acheni ujinga wenu wa kupotosha kuhusu kinga ya Covid.
Idiot, hawawezi kuuwa wote maana wanawahitaji, ila hawahitaji muwe wengi, hivyo wanafanya population control, sio extermination, we unaamini hakuna chanjo ya malaria ila ya Covid ipo? Hilo suala linaingia akilini mwako?
 
Umepanic bure kama hamtaki vya bure mbona mnalia lia chanjo wakati madarasa tu yanatushinda kujenga. Punguza wenge tupo pamoja na magu anayetaka chanjo akaifate wanapotoa bure mtuletee korona za ajabu

Wewe ndo jinga kubwa kulilia chanjo mitandaoni punguani wahedi mxiiieee
Mchezo gani? Mlitaka mpewe bure, mmetengeneza nyie?

Mna akili kweli nyie?
 
Kutawaliwa na Raisi ambye ni conservative and rigid ni kazi sana, eti wazungu wanataka kutumaliza ili wapate nini? Ni mbinu za CCM kupumbaza wa Tanzania nakuhamisha makosa yao kwa wazungu......
Wapate nini? Hivi kuna ubongo humo ndani ya fuvu lako kweli?
 
Sina hofu yoyote ile zaidi ya huyo kilaza magu na kauli zake za upotoshaji. Mataifa tajiri duniani kwa kushirikiana na WHO na baadhi ya mabilionea wanajua fika ilI kuishinda COVID ni lazima chanjo ifike nchi zote hivyo hadi jana walikuwa wameshakusanya $2 billions ili kufanikisha hilo.

Hapa sioni tunacholalamikia wakati wenye hela wanapata kwa gharama kubwa tusubirie misaada kama kawaida yetu. Chanjo tutaipata tu msiwe na hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…