Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

kwann wanalazimisha nchi maskini kuliko zao hebu waanze kwanza huko walipo kisha watuletee chanjo za ukimwi na malaria. Napenda anachofanya magufuli kuliko kuishi kwa hofu hofu.
 

Wapi walipolazimisha? Kwani chanjo za surua, polio na TB nazo zililazimishwa? Madawa mbali mbali ya magonjwa tunayotumia kwa miaka mingi ikiwemo ARV walilazimisha? 😳

kwann wanalazimisha nchi maskini kuliko zao hebu waanze kwanza huko walipo kisha watuletee chanjo za ukimwi na malaria. Napenda anachofanya magufuli kuliko kuishi kwa hofu hofu.
 
View attachment 1688534
Ni kwamba kichwani huwa mnakuwaga patupu kabisa, au huwa inakuwaje kuwaje? Mbona mi sielewi? Umeiona Egypt, Tunisia, Libya, Algeria au Morocco kwenye hizo nchi?
Na wewe unaamini kabisa kungekua na evil intentions behind basi jamaa wangejianika kweupe namna hiyo, right?

Kwamba wanajua kabisa wana intentions zao mbovu, yet waweke hadharani kiasi hiko

As if hawawezi tu wakazalisha chanjo ama dawa fake for Africans (kama mnavyoamini hizi conspiracies) then wakazi label For Africa & Europe uses halafu sasa wakazi ship moja kwa moja hapa in a way kwamba hawata create doubt zozote?

Tupende kuwa critical thinkers ati
 
Hama nchi, mbwa wewe, huijui mamlaka aliyonayo Rais juu yako? Kaanzishe nchi yako ujipangie, mpuuzi mkubwa wewe
Mamlaka ya kuamua wananchi wake wateketee hata kwa maelfu? Sheitwani wewe, pumbavu zako.
 
View attachment 1688326WaTanzania sio panya wa majaribio, ieleweke hivyo!!!!
Kwa maoni yangu hiyo dawa kuandikwa hivyo sio kwamba ndio haifai,bali kama unavyojua dawa/vifaa/bidhaa nyingi zinazokua msaada au zinazotakiwa kuuzwa kwa bei flani(especially nafuu)huandikwa hivyo maeneo maalum zinapotakiwa kupelekwa/kuuzwa kwa lengo la kwamba isije uzwa/pelekwa maeneo ambayo haikulengwa
Mfano dozi ya mtu mmoja kutokana na uhitaji ni karibia $43 unadhan kwa Nchi za Afrika kila mtu atamudu bila kua msaada au bila kuandika hivyo ili kila mtu apate kuepusha dawa zote kununuliwa na watu wa ulaya
 
Reactions: Pep
Idiot, hawawezi kuuwa wote maana wanawahitaji, ila hawahitaji muwe wengi, hivyo wanafanya population control, sio extermination, we unaamini hakuna chanjo ya malaria ila ya Covid ipo? Hilo suala linaingia akilini mwako?
Hizo dawa za UKIMWI mnazopigana vikumbo kuzigombea mlizitengeneza wenyewe? Mattacko yako wewe kijana.
 
Hawa jamaa ni kuwapiga nyundo tu hakuna kingine, waelezwe ukweli na wajue hatudanganyiki tena!
 
Hizo chanjo unazotaja zilitoka zamani bila mafungu kama ya chanjo ya korona kubagua za mabeberu na waafrika.

Tatizo mna kelele sana ndo maana mnajishtukia na kupanic. ARV ilipotoka hawakutumia nguvu kubwa kama chanjo ya korona halafu hii sio chanjo ni kidonge mkuu. Marekani wamegundua kimoja kwa mwezi na wala hawatumii nguvu kulazimisha matumizi yake kwa wote
Wapi walipolazimisha? Kwani chanjo za surua, polio na TB nazo zililazimishwa? Madawa mbali mbali ya magonjwa tunayotumia kwa miaka mingi ikiwemo ARV walilazimisha? 😳
 
View attachment 1688326WaTanzania sio panya wa majaribio, ieleweke hivyo!!!!

The label "Not for distribution in the United States, Canada and the European Union” is to prevent the drug from being sold illegally on the black market.

We think that this photo is part of a malicious campaign to create confusion around this drug.

Gilead’s licensing agreement allows low and low-to-middle income countries to have access to healthcare, according to the company website. In summary, the agreement is meant to keep the price of the drug affordable in the poorest countries and also make sure it can be manufactured as quickly as possible.

The list of countries covered in the Gilead agreement doesn’t include Canada, the United States or any EU member country. It does include some European countries like Georgia, Armenia and Belarus.
 
Kelele kwenye kusema ukweli kuhusu athari za huu ugonjwa ambao umeua watu wengi? Mwenye kelele ni huyo kilaza magu wakati yeye kaikimbia Ikulu kwa wiki tano sasa anaendelea kutudanganya Watanzania kwamba Tanzania hakuna corona au kuna corona kidogo wakati hana ushahidi wowote wa corona kidogo kwa sababu kazuia upimaji wa COVID tangu April 29, 2020 sasa kabaki kuropoka ropoka tu huku ugonjwa ukizidi kuua Watanzania wengi.

Hebu tuwekee ushahidi unaonyesha nguvu ya kulazimisha chanjo ya COVID 19.
 
Duuuh, kwahiyo hata kutu dhahiri kama hicho unabisha, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sina namna zaidi ya kukuacha, kwenye hizo nchi hata Libya tu haipo, zote ni mablaki, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hah
ahahahahah, Jesus christ!
 
Hizo dawa za UKIMWI mnazopigana vikumbo kuzigombea mlizitengeneza wenyewe? Mattacko yako wewe kijana.
Hizo ARV zinazoua watu kwa Liver, Heart na kidney failure? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtu mwenye akili timamu anaweza kugombania ARV kweli?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuuu sikujui na sijui unaishi wapi, but nasema ningeweza kukufahamu kwa kweli kama ni bia, soda au wine ingekuhusu.... Hivi kweli kuna mtu hapa duniani mwenye dhamana ya afya yako mwenyewe na familia yako zaidi ya wewe mwenyewe???? [emoji1745] [emoji1745] Eti huko Moshi Meja mzima anaamuru mtu avue barakoa!!! Kweli??? Over my dead body nakuambia!!!
 
Hivi Mtanatuona watoto wadogo au ni outright arrogance? South Africa na Libya nani yuko juu kiuchumi? Mbona Libya haijawekwa kwenye label, ila SA imewekwa?
 
Et wamewekeza kwenye miundo mbinu...mfano madaraja,,, hospital....shule..ndege na barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…