Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

Ninaweza kujitapa hadharani kuwa siikubali Chanjo lakini sirini nikawaita Madaktari waje kunichanja kimya kimya..

Wewe ukizisikiliza tambo zangu ukachukulia kuwa ni kweli, ukaikataa chanjo, Corona ikikuvamia ukafa ni ujinga wako mwenyewe..
 
Mchezo anaoucheza magu mtauelewa mbeleni. Cheki SA wamekimbilia chanjo wamejikuta wanauziwa bei kubwa zaidi. Tulieni chanjo itakuja tu

Kwaiyo jamaa ackulupuke kuagiza iyo chanjo? I Mean Atulie kwanza watu waendelee kufa mpaka bei iteremuke!!!
 
Ukibishana na wapumbavu watakuleta kwenye kiwango chao na kukushinda sababu ya uzoefu
Mijinga hii imepigwa chanjo kibao tokea utotoni na inatembea na makovu ya ndui, lakini eti leo wameshtuka
Aiseee... Mavi kabisa
 
Reactions: BAK
Si nimekuwekea hapo uzo wenu mkishabikia chanjo zinazoletwa na who.

Mnalalamika weee huku hamna cha maana. Kama ni chanjo huko ulipo inaruhusiwa chanja hujakatazwa
 
Ngoja COVID ikupitie au iguse wa karibu nawe ndiyo utatia akili kichwani. Watu wanakufa kwa idadi ya kutisha nchi chungu nzima duniani eti wewe unaona hatusemi cha maana ila huyo kilaza magu ndiye unayeona anasema la maana!!! Mbona kaikimbia Ikulu wiki ya tano hii. Arudi Ikulu badala ya kujificha shimoni chato.
Si nimekuwekea hapo uzo wenu mkishabikia chanjo zinazoletwa na who.

Mnalalamika weee huku hamna cha maana. Kama ni chanjo huko ulipo inaruhusiwa chanja hujakatazwa
 
😂😂😂😂😂😂 Eti chanjo zilitoka zamani bila mafungu!!!🤣🤣🤣🤣🤣hivi unadhani zoezi la kuwapatia watu wote duniani chanjo ya kuzuia polio, kifua kikuu, surua etc inaweza kufanyika bila awamu au kama ulivyodai mafungu? Hebu twambie hizo chanjo “zilizotoka zamani” zoezi la kusambaza dunia yote lilifanyika vipi bila awamu AKA mafungu!?
 
Thank you 🙏🏾 Mkuu. Baadhi ya Watanzania wanashangaza sana. MABEBERU kwa miaka mingi sasa wametuletea chanjo na madawa ya kila aina katika kupambana na magonjwa mbali mbali hatari na siku zote chanjo na dawa hizo zimetusaidia sana si Waafrika tu bali wengine kwenye mabara mengine.

Kwenye COVID mara tu wazungu hawatupendi wanasarandia utajiri wetu! Wanataka kutuua blah blah blah lakini MABEBERU wakija na $$$ hawaitwi tena jina hilo bali wanaitwa Nchi za wafadhili!!!!

Bado tuna safari ndefu sana ya kufuta ujinga.

Ukibishana na wapumbavu watakuleta kwenye kiwango chao na kukushinda sababu ya uzoefu
Mijinga hii imepigwa chanjo kibao tokea utotoni na inatembea na makovu ya ndui, lakini eti leo wameshtuka
Aiseee... Mavi kabisa
 
Corona haijawahi kuisha na kila mmoja anafahamu na kuendelea na maisha,mpaka lini tujifungie kwa kuogopa ugonjwa?

Tatizo mnalazimisha visivyowezekana na bado mnaombea watu wafe kwa wingi mpate kile mnachokiita ushindi

Kwenye familia yenu wamekufa wangapi mkuu?
Hayo mimi cjui,,ila corona ipo na watu wanakufa kila cku. Labda haijampata mmoja katika familia yako ndiomana waongea ivyo.
 
Kwenye familia yako imepitia wangapi? Maana naona mnafurahia vifo utadhan mtaishi milele.
Watu wanafariki kila kukicha ni jambo la kawaida kama unaona maajabu nenda mahospitalin ushuhudie idadi za wagonjwa wasiohusika na covid walivyo wengi. Kabla ya covid bado watu walikufa vya kutosha. Wewe ndio uniambie hayo mafungu yalilazimishwa?maana hata chanjo za majaribio mlikua mnabweka balaa ooh tutakosa misaada ooh tutatengwa mara tutapigwa keyboard warriors bana.halafu kumbuka ARV ya juzi juzi hapa na haikutumika nguvu kuilazimisha wala vuvuzela wa mtandaon kulia lia

Unakimbilia polio,kifua kikuu,surua. Haya magonjwa yaliwatandika sana wazungu fasta wakaleta chanjo na hawakulazimisha isambae bali wahitaji waliomba wenyewe.

Acheni kulazimisha maji yapande mlima subirieni yashuke yenyewe.
 
Kwa ufupi ni kwamba kwa wakati huo JPM ni hatari kwa wa Tanzania kuliko chanjo ya Covidi na mabepari wenyewe, kwanini anatufanya tuishi kwenye "denial"
Dunia nzima inatushangaa kwa vituko na maajabu ya raisi wetu.
 
Word
 
Watanzania mnalalamika kuwa SA wamenunua bei kubwa wakati wao washatangaza kutoa chanjo kwa wote endeleeni kupiga kelele za bei kubwa kwenye afya China wanawaangalia tuu wataleta ya bei nafuu...niliposikia bei kubwa eti Tsh 6000 kazi mnayo
 
Haya sasa WHO, wamesema kuwa watatoa card, ambayo kila aliyepata chanjo atapewa, na bila card hiyo hutaruhusiwa kuingia nchi yoyote ile!!hapo mtaikwepa vipi??mi najiuliza yaani awamu hii ndio mnataka kuifanya TZ, kama ni nchi ya kipekee sana kuwa kila leo wazungu wanaitamani sana!!kwa kipi hasa ambacho kimefanyika kwa miaka hii mitano??kama ni rasilimali kila sehemu hao wazungu wapo, na walishaingia mikataba ya muda mrefu, ??
 
Nasikia huko Uchina kabla ya kudungwa lazima wapapase tak.o wapime kinyesi.....ww unakwenda kudugwa wp!?!
 
Actually,kama hatuna imani na hao jamaa inabidi tukatae chanjo na dawa zao zote siyo za Corona tu.

Tena tuzikatae kwa hekima siyo kuwaharibia masoko yao mengine kwa kuzikandia hadharani as wana namna 1000+ za kutu-outsmart.

Hata hiyo mitambo yenyewe ya kupimia ubora wa dawa hapo TMDA haijatengenezwa Madagascar.

Mfano mimi na familia sijawahi kutumia chandarua za msaada (zilizotibiwa) baada ya kuchekecha ubongo na kuona ni ukichaa.

Ile net ina dawa inayoua mbu kwa miaka mitano pamoja na kufuliwa na ule mfuko wake wa kifungashio ukitumika kufunikia chakula (wali,mihogo) hicho chakula sumu yake siyo ya nchi hii.

Hai-make sense kwamba et wewe unayehemea humo 8hrs daily uko salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…