pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,611
- 3,049
M
Mtumishi kunywa maji ya Baridi, el-nino imekuja na joto ridi la juu sanaKuna uzinzi wa kimwili na wa kiroho. Kwahiyo inawezekana kabisa mtu akawa mzinzi na muasherati.
Andiko hili linaeleza maana ya kiroho ya uzinzi:
Yakobo 4:4:
“Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.”