Chonde, chonde! Huenda hili ni onyo la mwisho kwako!

Chonde, chonde! Huenda hili ni onyo la mwisho kwako!

God is good😍mimi na mambo ya duniani bye 👋
Umenifurahisha sana😍
Hakika
Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele (1 Yoh 2:15-17)
 
Umenifurahisha sana😍
Hakika
Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele (1 Yoh 2:15-17)
Najiulizaga nikifa muda huu ntaenda wapi nikiwaza sijatubu nachoka mimi😪💔🌸
 
Najiulizaga nikifa muda huu ntaenda wapi nikiwaza sijatubu nachoka mimi😪💔🌸
Ooh jamani. Mimi ulivyoandika kwamba "God is good😍mimi na mambo ya duniani bye" nikafikiri tayari umetubu.
Hata hivyo, nakutia moyo usichoke wala kukata tamaa. Habari njema ni kwamba hujachelewa, bado unayo nafasi ya kutubu na kumrudia Mungu. Lakini usisubiri kesho, wala usifikiri dhambi zako ni nyingi kiasi kwamba Mungu hawezi kukusamehe. Ukiziungama dhambi zako, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata akuondolee dhambi zote (1 Yoh 1:9). Mungu anajua ukiondoka duniani muda huu kabla hujatubu, kweli utateseka milele. Ndio sababu kwa upendo wake amenituma nikuambie utubu ili uwe na uhakika wa kuingia mbinguni kwenye raha ya milele. Sauti inayokukataza kutubu ni sauti ya shetani. Ikatae. Shetani yeye ameishahukumiwa kutupwa motoni milele. Anachofanya sasa ni kuwashawishi watu waendelee kufanya dhambi ili waangamie motoni pamoja na yeye. Mpinge kwa Jina la Yesu. na uchukue hatua sasa kabla neema haijafungwa. Fuatisha hiyo sala ya toba kwenye post #3 kwa moyo wako wa dhati na Mungu atakusamehe na kukuokoa. Ubarikiwe sana mpendwa wangu.
 
Huyo nae n mpigaji nyeto, kwanza Cjawah kuona kwenye Biblia ikisema tusipige nyeto, sasa huyu ametoa wap
Soma post #20 nimeeleza kwa kina kwanini kupiga nyeto ni dhambi. Nikafafanua tena katika post #57.
 
Hamna nondo yoyote uliyoshusha, labda kama hizo nondo ni chakavu
Wagalatia 6:7-8
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna. Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu...
 
Wagalatia 6:7-8
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna. Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu...
Msalimie mchungaji wako
 
Msalimie mchungaji wako
Zab 23:1-6
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza...
 
Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima

TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUN

Mtu mmoja anawezaje kuwa mzinzi na muasherati wakati mmoja!
 
Mtu mmoja anawezaje kuwa mzinzi na muasherati wakati mmoja!
Kuna uzinzi wa kimwili na wa kiroho. Kwahiyo inawezekana kabisa mtu akawa mzinzi na muasherati.
Andiko hili linaeleza maana ya kiroho ya uzinzi:
Yakobo 4:4:
“Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.”
 
Kwa hiyo hapo ulipo unajisifu hadharani huna dhambi! Wala sishangai. Nyinyi unafiki ni kipaji chenu kikuu.
Sijisifu, na wala sio unafiki. Nimeeleza ukweli tu. Ukitubu na kuokoka, dhambi zako zote zinafutwa na unahesabika mtakatifu.
Zab 16:3
Watakatifu waliopo duniani
ndio walio bora, hao ndio niliopendezwa nao.

1 Yohana 3:9
Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu.

Yn 1:12
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake
 
Kila baba anawajua watoto wake, watoto wa MUNGU wanamjua baba yao na watoto wa shetani wanamjua baba yako kuwafanya watu wamkatae baba yao inahitajika nguvu kubwa.
umenibariki sana, barikiwa.
Amen, barikiwa
 
Sasa ww leo n zamu yako kukupigia nyeto nikiwa church, ukihisi kulowana tuu ujue tyr nshakimwaga huko 😎
Waefeso 5:3
Lakini uasherati usitajwe miongoni mwenu kamwe, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa...
 
hivi, nikiibiwa mali zangu na mwizi nikamkamata, nikimpeleka mahakamani nimelipiza kisasi?
Ukimpeleka mwizi mahakamani, unaruhusu mfumo wa sheria wa nchi yako kuamua adhabu yake kulingana na sheria zilizopo. Ila ukijichukulia sheria mkononi kwa kumpiga au kumwibia na yeye, utakuwa umelipa kisasi. Hata hivyo mwizi akikuomba radhi na kurudisha mali zako, itapendeza zaidi ukimsamehe.
nikimpeleka polisi bazazi aliyenibakia mwanangu, je, nimelipiza kisasi?
Hili swali linafanana na swali lako la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibu
nikiwa mkuu wa nchi, jirani akataka kujinyakulia eneo langu kinguvu, je, nikimtwanga nimelipiza kisasi?
Ukiwa kiongozi wa nchi, una wajibu wa kikatiba wa kulinda ardhi na usalama wa raia wako. Jirani anapotumia nguvu kujimegea eneo, jeshi lako linapomkabili linatekeleza ulinzi wa halali kuzuia uvamizi chini ya sheria za kimataifa. Hata hivyo unaposema 'kumtwanga' sijui unamaanisha nini, maana jirani ina-include kiongozi wa hiyo nchi jirani, jeshi lake na raia wake. Utawatwanga hata watoto na kinamama ambao hawajahusika kufanya maamuzi ya kujinyakulia eneo lako?
nikikabwa usiku na vibaka ambao wanasifika kwa uhalifu, asubuhi nikiripoti polisi na wakawekwa ndani, je, nimelipiza kisasi?
Hili swali linafanana na swali la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibu
rafiki yangu akifunga ndoa kimya kimya na kutonipa mualiko, akawapa wengine, ikaja zamu yangu nami nikafunga harusi na kuomualika, je, nimelipiza kisasi??? nijibu.
Hiyo ni kisasi, mkuu. Ni tit for tat au jino kwa jino.
 
Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Kwahiyo tumerudi tena kwenye Sheria.
Usifanye hiki
Usifanye kile
Usifanye hili
Mkuu, hebu nikumbushe: tuliondoka lini kwenye sheria?
Au wewe hili andiko unalielewaje:
Mathayo 5:17
“Msidhani kuwa nimekuja kutangua (kufuta) sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.
Na hili je:
Warumi 6:1-7
Tuseme nini basi? Je, tuendelee kutenda dhambi ili neema ipate kuongezeka? La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?
 
Back
Top Bottom