Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
- Thread starter
- #41
Wine isiyolevya(yaani isiyo na alcohol) haina tatizo. Wine isiyolevya ndiyo aliyotengeneza Yesu.Hivi timotheo alipoambiwa kwa sasa usitumie maji pekee bali na mvinyo kwa ajili ya tumbo lako !Paulo mtume hakumaanisha hii wine ya kupima ya Dodoma hasa ya mzabibu!!?
Paulo alimwambia Timotheo atumie divai kidogo (kama dawa) kwa ajili ya tumbo lake (1 Timotheo 5:23), yaani kwa ajili ya kutibu matatizo ya tumbo aliyokuwa nayo. Hakumwambia aanze kulewa.
Andiko hilo halifuti Maandiko mengine yanayokataza ulevi (Waefeso 5:18; Wagalatia 5:21).
Tusichukue andiko moja na kulifanya ruhusa ya kufanya jambo ambalo Maandiko mengine yanatukataza.
Kwa ufahamu zaidi soma nyuzi hizi:
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.
Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect...

- Setfree
- bila dhambi kujiua kunywa kunywa pombe kusema pombe sawa sumu ujasiri ukweli ukweli mchungu ushahidi who
- Replies: 195
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na...

- ukweli yesu
- Replies: 119
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko