WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"

Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."

Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!

Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)

Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)

Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."

Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.

Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani, mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!
 
Hebu tuitafakari tena kwa kina kauli hii ya Shirika la Afya Duniani (WHO) inayoainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Nini maana ya Group 1 carcinogen?
Ni kundi la vitu ambavyo vimehakikishwa kisayansi kuwa vinaweza kusababisha kansa kwa binadamu. Vitu hivi havina shaka katika ushahidi wa kusababisha kansa.

Je, pombe (Ethanol) iko kwenye kundi hilo? Ndiyo. Tangu mwaka 1988, IARC (kitengo cha WHO) iliiweka ethanol in alcoholic beverages katika Group 1 carcinogens. Ushahidi unaonyesha kwamba pombe inasababisha kansa ya ini, matiti, koromeo (throat), umio (esophagus), na nyingine.

Inaweza kuongeza hatari ya kansa hata kwa unywaji wa kiasi kidogo mara kwa mara.

Chanzo: IARC Monographs, Volume 100E:
“Alcoholic beverages are carcinogenic to humans (Group 1).”

Kwa hiyo, kwa maneno rahisi, kama ilivyo kwa sigara au asbestos, pombe nayo imethibitishwa kuwa ni kisababishi halisi cha kansa kwa binadamu.

Sio lazima ulewe, hata unywaji mdogo wa mara kwa mara unaongeza hatari ya kupata kansa.

Mpaka hapo naamini umethibitisha kuwa pombe ni sumu. Kwa hiyo kama unainywa, unajiwekea sumu mwilini. Na kwa kulingana na andiko lile, unauharibu mwili wako. Ukiendelea kufanya hivyo Mungu atakuharibu na wewe. Kwa maneno mengine utaangamizwa katika moto wa milele.
 
Inawezekana unaichukia pombe. Lakini kila ukijaribu kuiacha unashindwa. Usikate tamaa. Yesu anasema:
Mt 11:28-30
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha...nanyi mtapata raha nafsini mwenu..."

Ukiomba sala hii ya toba, utaokoka sasa hivi na Yesu atakupa nguvu ya kushinda tamaa ya kunywa pombe na kukupumzisha kabisa mzigo huo unaokulemea. Omba hivi:

“Ee Mungu Baba, nimetambua kwamba hata kunywa pombe bila kulewa ni dhambi. Naomba unisamehe uovu huu. Natubu dhambi hii na dhambi zangu zote nyingine. Sitazirudia tena. Nakiri sasa kuwa Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi wangu. Yesu Kristo karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda tamaa ya kunywa pombe. Niwezeshe kuishi maisha matakatifu kuanzia leo. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa na kuniweka huru mbali na dhambi. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”

Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Nguvu na neema ya kushinda tamaa ya pombe imeingia ndani yako. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha matakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho. Ubarikiwe sana.
 
Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hehalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."
Mbona wahubiri wanasema Bwana Yesu alishitua kidogo kwenye harusi ya Kana
 
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"

Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."

Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!

Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)

Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)

Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."

Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.

Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!
min -me Mkuu hebu njoo huku utoe maoni 😂😂😂
 
Ethanol inajulikana hivyo kuwa Ni sumu tangu Enzi hizo za ugunduzi wake. Kwenye beverage huwa kuna percentage za alcohol ambazo ndizo zinavumilika katika cell za mwili WA binadamu. Alcohol ikizidi tu, aidha Ni kifo cha mudà mfupi au kifo cha taratibu kupitià hitirafu za viungo Vya mwili; kwa mfano, ini, figo, oesophagus, lungs, etc.
Uràiani huku wamezikwa wengi kwà sababu yà concentrations of ethanol katika mwili.
====\===\\\\=======

View: https://www.instagram.com/p/C7qir7ENuT9/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
Attachments

  • Mwanafunzi afa kwa ethanol.jpg
    Mwanafunzi afa kwa ethanol.jpg
    140.3 KB · Views: 46
Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."
"Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo. 19Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake." (Mathayo 11:18-19)

Mwenye Hekalu alikula na kunywa bwana mpaka wakasema mlafi na mlevi. wewe ni nani Sasa?
 
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"

Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."

Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!

Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)

Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)

Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."

Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.

Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani, mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!
unatusimanga sisi walevi akat ww unakula nguruwe"
 
Soda? Fanta orange je?
Hata soda sio bora kiafya kwa sababu ina sukari nyingi. Lakini soda ni tofauti sana na pombe. Soda haipunguzi ufahamu wa mtu, soda haiharibu maadili, haiwafanyi watu waanguke dhambini, wala haitajwi na Biblia kama jambo la kujiepusha nalo. Pombe ni dhambi kwa sababu, kama tulivyoona, inaathiri roho, tabia, hekalu la Mungu (mwili), na ushuhuda wa Mkristo
 
Wakristo wenzako ndo walevi wakutupwa
Asante Akhi
"Wakristo" walevi, uzi wao huu hapa👇. Nisaidie kuwasambazia maana naona kama wanakwepa kuusoma:
 
Back
Top Bottom