Mtumishi kunywa maji ya Baridi, el-nino imekuja na joto ridi la juu sanaKuna uzinzi wa kimwili na wa kiroho. Kwahiyo inawezekana kabisa mtu akawa mzinzi na muasherati.
Andiko hili linaeleza maana ya kiroho ya uzinzi:
Yakobo 4:4:
“Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.”
“Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena. Lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona kiu milele. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji ya uhai na kumpatia uhai wa milele." (Yohana 4:13-15)M
Mtumishi kunywa maji ya Baridi, el-nino imekuja na joto ridi la juu sana
VitishoMkuu, unaijua siku yako ya kuondoka duniani?
Ukimpeleka mwizi mahakamani, unaruhusu mfumo wa sheria wa nchi yako kuamua adhabu yake kulingana na sheria zilizopo. Ila ukijichukulia sheria mkononi kwa kumpiga au kumwibia na yeye, utakuwa umelipa kisasi. Hata hivyo mwizi akikuomba radhi na kurudisha mali zako, itapendeza zaidi ukimsamehe. Hili swali linafanana na swali lako la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibu Ukiwa kiongozi wa nchi, una wajibu wa kikatiba wa kulinda ardhi na usalama wa raia wako. Jirani anapotumia nguvu kujimegea eneo, jeshi lako linapomkabili linatekeleza ulinzi wa halali kuzuia uvamizi chini ya sheria za kimataifa. Hata hivyo unaposema 'kumtwanga' sijui unamaanisha nini, maana jirani ina-include kiongozi wa hiyo nchi jirani, jeshi lake na raia wake. Utawatwanga hata watoto na kinamama ambao hawajahusika kufanya maamuzi ya kujinyakulia eneo lako? Hili swali linafanana na swali la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibu Hiyo ni kisasi, mkuu. Ni tit for tat au jino kwa jino.

Yesu aliposema kuwa mtu akinionea haya nami nitamuonea siku ya mwisho, maana yake atalipiza kisasi kwa adui wake. Hilo unaliongeleaje?Ukimpeleka mwizi mahakamani, unaruhusu mfumo wa sheria wa nchi yako kuamua adhabu yake kulingana na sheria zilizopo. Ila ukijichukulia sheria mkononi kwa kumpiga au kumwibia na yeye, utakuwa umelipa kisasi. Hata hivyo mwizi akikuomba radhi na kurudisha mali zako, itapendeza zaidi ukimsamehe. Hili swali linafanana na swali lako la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibu Ukiwa kiongozi wa nchi, una wajibu wa kikatiba wa kulinda ardhi na usalama wa raia wako. Jirani anapotumia nguvu kujimegea eneo, jeshi lako linapomkabili linatekeleza ulinzi wa halali kuzuia uvamizi chini ya sheria za kimataifa. Hata hivyo unaposema 'kumtwanga' sijui unamaanisha nini, maana jirani ina-include kiongozi wa hiyo nchi jirani, jeshi lake na raia wake. Utawatwanga hata watoto na kinamama ambao hawajahusika kufanya maamuzi ya kujinyakulia eneo lako? Hili swali linafanana na swali la kwanza ambalo tayari nimelitolea jibu Hiyo ni kisasi, mkuu. Ni tit for tat au jino kwa jino.
😘Muda utaongea
Usike ukapewa sifongo siku chemchem ikikauka“Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena. Lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona kiu milele. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji ya uhai na kumpatia uhai wa milele." (Yohana 4:13-15)
Kanisa lako li wapi pengine nikashawishikaNakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUNGU!
Kumuonea haya ni kuona haya kutangaza Injili yakeYesu aliposema kuwa mtu akinionea haya nami nitamuonea siku ya mwisho, maana yake atalipiza kisasi kwa adui wake. Hilo unaliongeleaje?
Usisahau tafsiri ya kulipiza kisasi: ni jino kwa jino.Paulo alipokimbiwa na somebody Marko, baadaye alikataa kwenda naye tena kuhubiri injili, alilipiza kisasi. alikataa katakata hata baada ya kuombwa amsamehe dogo? alilipa kisasi, unaongeleaje hilo?
Katika mifano hiyo miwili, hakuna mzazi aliyelipiza kisasi kwa maana halisi ya neno "kisasi" (revenge/vengeance). Kama nilivyokuambia awali, kisasi ni tit for tat, ni jino kwa jino; ni kitendo cha mtu kujichukulia sheria mkononi ili kumuumiza au kumdhuru mtu mwingine kwa nia ya kulipa ubaya kwa ubaya, mara nyingi kikichochewa na hasira au chuki binafsi. Huyo mzazi wa kwanza, hakujichukulia sheria mkononi. Hukumu ya kifungo cha maisha haikutolewa na mzazi, bali ilitolewa na mahakama kwa mujibu wa sheria za nchi yake.kuna watu 2. wote wana mabinti, mmoja binti yake akabakwa na kijana, aliposkia akampeleka polisi akafungwa maisha. wa pili naye binti yake akabakwa, huyu alimuita kijana na kuongea naye pasipo kumpeleka polisi wala kumpa adhabu yoyote. kati ya hao 2, ni nani alilipiza kisasi na nani hakulipiza? be honesty.
Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUNGU!
Kwanza hongera sana kwa kujiunga na JF miaka mingi iliyopita. Unastahili kupewa u-Platinum. Joined 2011?Kanisa lako li wapi pengine nikashawishika
Hao waliishatabiriwa kuwa watatokea wengi siku hizi za mwisho na kuwadanganya wengi. Hivyo hakuna cha ajabu hapo. (Mt 24:11)View attachment 3703251
Nimeamini kweli kazi ni kipimo cha utu
Your post raises an apparent contradiction but overlooks an important distinction in the original Greek language. Because the New Testament was originally written in Greek, examining the original Greek words helps us understand their precise meanings rather than relying solely on English translations.
Ipo mkuu soma pargraph ya kwanzaNmefurah sijaona usipige nyeto 🔥