Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo Wana roho mbaya SanaNimegundua wabongo ni sumu, watesi na waharibifu na hawajali hisia za wengine
Hajadhalilishwa wamempenda tuHizo picha za nini? Huyu dada mbona anadhalilishwa kwani amewakosea nini????!!! F
Hapana mdogo angu, sio poa...Hajadhalilishwa wamempenda tu
Sawa mdogo wanguHapana mdogo angu, sio poa...
Hizi ni fikra kandamizi dhidi ya mwanamke.MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE
NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
MWANAUME[emoji177]
Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula,
Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu
Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto
wakishakula Wanasema Asante Mama.
*
MWANAUME*[emoji873]
Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu
Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua
Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu
Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie,
Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu
Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,
MWANAUME[emoji177]
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia
Mkeo Hela Chumbani,
MWANANUME[emoji873]
Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo
Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa
Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi
Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na
gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome
Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto
Wanasema Asante Mama.
KIBAYA ZAIDI[emoji176]
Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi
Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu
Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo
matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora
Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi
Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.
NGUMU KUMEZA
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana
KUMBUKUMBU Yoyote Ya mema uliowafanyia.
MWANAUME KUWA MAKINI SANA
*_ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENIView attachment 1884915View attachment 1884916